ywf
JF-Expert Member
- Aug 3, 2017
- 801
- 961
hata nyuma bado hatujafika,acheni kudanganyana[emoji35]"Kidogo tupo nyuma sana". Wewe Mswahili mpaka unatakakuwa Muingereza.
hata nyuma bado hatujafika,acheni kudanganyana[emoji35]"Kidogo tupo nyuma sana". Wewe Mswahili mpaka unatakakuwa Muingereza.
Mkuu kwani unakula nyama mbichi?
Mkuu kwani unakula nyama mbichi?
kwani unakula inzi? nyama nayo unakula mbichi?sasa Ntakwepaje kipindupindu?
hata nyuma bado hatujafika,acheni kudanganyana[emoji35]
Pamoja sana mkuuNakubali hilo sina shida nalo, ni vile ulivyotumia ustaarabu kujieleza tu kwamba "kidogo tupo nyuma sana".
Yaani umeuma na kupuliza hapo hapo.
Mtu akikusema "Kwa nini unasema tupo nyuma sana?" Unajitetea "Sijasema tupo nyuma sana, nimesema kidogo tupo nyuma sana".
Hahahahah. Umenifurahisha sana.
Wewe huwa unakula nyama mbichi?sasa Ntakwepaje kipindupindu?