Usichukie Nzi kwenye Mabucha

Usichukie Nzi kwenye Mabucha

jeipm

JF-Expert Member
Joined
Sep 28, 2018
Posts
500
Reaction score
826
Ukiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...

Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .

Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.

Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.

Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini

Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.

Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.

Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua buchani
 
Mkuu utakosesha watu wateja. Je, wanaochinjia mbali na kutia kwa fridge nao watakuwa na inzi?
 
Duu, binadamu hatuna utu kabisa, kwa kweli butcher lilikikosw inzi inabidi tuwe makini sana 😂
 
Ishu ni uwepo wa inzi wa kijani huleta kinyaa, kuna inzi wakubwa hunya funza na wegine hutaga mabuu. Labda hawa inzi wa kawaida ambao ni wengi hata majumbani wapo na ni wabishi kutoka tumewazoea
 
Ukiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...

Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .

Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.

Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.

Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini

Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.

Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.

Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua buchani
Siku hizi usalama pekee ni kuacha kutumia nyama au samaki ambao hujui wametoka wapi, ulafi ndo huwaponza watu.
Ila Formalin hutumiwa sana na wasafirishaji wa samaki na wauzaji wa nyama.
 
Ukiona butcher ya NYAMA au SAMAKI hakuna INZI,, hiyo nyama au samaki itilie mashaka au Acha kununua ...

Kuna watu hutumia dawa aina ya FORMAILIN ambayo hutumika kutunzia maiti katika kutunzia nyama buchani kufukuzia nzi .

Mfamasia mmoja Doctor Keneth mwanachama wa wafugaji , alisema ni kweli hili ni suala la Afya tu.

Baada ya rafiki yake kupoteza mtoto, baada ya uchunguzi kufanyika ikagundulika uwepo wa hiyo Kemikali ya formalin kuwepo katika damu ya mtoto.

Pale formalin ilipokuwa imeingia mwilini, inaenda moja kwa moja kwenye Ini nakuharibu . Ndio maana miaka ya hivi karibuni watu wengi wana matatizo ya ini

Tahadhali unapoenda Buchani kununua nyama ni kuwa seriously na usalama wa kununua nyama kwenye bucha lenye nzi!, uwepo inzi katika Bucha huo ni uthibitisho wa usalama wa nyama isiyokuwa na Kemikali ya formalin.

Kama nyama haifuatwi na inzi kinachofanya wasitue juu yake ni uwepo wa formalin.

Tafadhali kuwa mwangalifu okoa maisha ya mwingine kama nilivofanya kwako kwa kushare kwa wengine nao wapate kufahamu! Usalama wa nyama wanazo nunua buchani
Kutokana na mazingira yetu labda Ila inatakiwa nyama itunzwe kwenye fridge kuninginiza nyama ni mtindo wa zamani
 
Haya mambo yalianzia uganda miaka ya nyuma kutumia dawa za maiti kwenye butchani

Kuna nyama zingine ukipika hakuna mafuta kwenye nyama. Nyama mpaka inaiva mafuta hakuna sijui inakuwa na shida gani
 
Nunua nundu itatoa mafuta
 
Unaijua vizuri formalin, au unasimuliwa tu..........yaani formalin iwekwe kwenye nyama kuna mtu ataingia humo buchani bila kupiga chafya mfululizo na kutokwa machozi juu. Ile formalin kuwekwa kwenye nyama tu hiyo nyama lazima ibadilike kuwa kama imepikwa hivi.......waambie waliokusimulia warudi wakafanye uchunguzi upya.
 
Back
Top Bottom