BITCOIN
Wakati naandaa taarifa hii btc ilisimama kwenye bei ya dolla 6327,ambapo imepanda kwa kiwango cha asilimia 1.99% ndani ya masaa 24 yaliyopita .Zaidi ya dola million 260,zenye thamani ya bitcoin ziliweza kibadilishwa kwenye BTC/USD,ambapo ni sawa na asilimia 18% ya mzunguko kwa siku.
Ambapo BTC/JPY,iliiongoza katika mabadilisho ikiwa na ujazo wa 11.2%.
ETHEREUM.
Kwa upande wa ethereum imepanda kwa asilimia 4.47%ndani ya masaa 24 yaliyopita ,ambapo bei ya ethereum kwa Leo imesimama kwenye dola 198 kwa koin moja.Zaidi ya dola million 130 ziliweza kubadilishwa katika ETH/USD,ambacho ni ujazo wa asilimia 17%.
SEC KUIZUIA BIASHARA KWA BTC NA ETH NDANI YA SIKU 12.
Jana ,US securities na Exchange commission (SEC),zilitangaza kuizuia biashara ya BTC na ethereum kwa kipindi cha siku 12,ambapo wamejumuisha
1.Tracker one (CXBTF).Kwa upande wa Btc
2.Tracker one(CETHF).Kwa upande wa ETH
Ambapo ni kuanzia Jana 9/9/2018 hadi 21/9/2018
Tangazo hilo lilionekana katika Twitter yao.
USHAURI.
Mpaka muda huu SAA 12:54 taarifa hii haijawa na madhara katika bei za cryptocurrency.unaweza kununua ,au kuuza pia kulingano na mtazamo wako
#grandpow.