KILICHOJIRI KWENYE SOKO.
Wakati naandika ripoti hii,bei ya Btc ilikua kwenye dolla 6412ambapo inaonyesha kwamba Btc ,imeshuka bei kwa kiwango cha asilimia 13.18,ndani ya masaa 24,yaliyopita.Kiasi cha dola billion 1.1 za thamani ya Btc kiliweza kubadilishwa kwenda kwenye dolla.
ETHEREUM.
Bei ya ethereum imeshuka hadi kufikia dola 227 kwa coin moja,hivyo inaonyesha kwamba ethereum imeweza kushuka kwa kiwango cha asilimia 7.766 ndani ya masaa 24 yaliyo pita zaidi ya dolla million 350,za ethereum ziliweza kubadilishwa kwenda kwenye dolla katika exchange mbalimbali.
FAHAMU SABABU ZA BTC /CRYPTOCURRENCY KUSHUKA BEI.
1.GOLD SACHS,kushindwa /kuacha kufungua dirisha la kutrade Btc.
Hii ndio sababu kuu ambayo imepelekea soko la cryptocurrency kushuka bei kwa spidi
Kutokana na ripoti ya mfanya biashara Mkuu au mmiliki wa gold Sachs, amesema wameshindwa kufungua dirisha hilo sababu kuu ni "REGULATORY FRAME WORK "ya cryptocurrency ,kwamba bado ni mapema sana kwa kampuni hio kushughulika na cryptocurrency.
View attachment 859245View attachment 859246View attachment 859247