BTC kushuka bei ndani ya dakika mbili

BTC kushuka bei ndani ya dakika mbili

maliselo22

Member
Joined
May 18, 2017
Posts
72
Reaction score
52
Kutoka dola 7400 hadi 6950,bei ya Btc kushuka ndani ya dakika mbili,hivyo imepelekea soko la cryptocurrency kwa ujumla kushamiri rangi nyekundu(shuka bei),bitcoin imeshuka kwa kiwango cha 2%.Kutokana na anguko hili ,ethereum,ripple,bitcoincash na eos ,kuanguka kwa kiwango asilimia 6 had 7 .Kutoka na btc kushindwa kukaa kwenye momentum rengi ya dola 7400.

Kama Btc itajirudi kwenye levo ya dolar 7200 hadi $7300,ndani ya masaa 12 hadi 24yajayo ,nakua imara kwenye levo ya $7000,hivyo itakua ni rahisi kwa Btc kuendelea kuongoza soko la cryptocurrency ,pia ita epuka kushuka hadi $6000,

Pia kama Btc itashuka chini ya dola 7000kwenye sapoti levo kama tulivyo ona katika miezi ya tano na saba,hivyo tutatarajia kuendelea kushuka hadi chini ya dola 6000,

USHAURI
MAELEZO HAYA YANAWEZA YASI FANYE KAZI KWA ASILIMIA MIA MOJA ,HIVYO BASI,FANYIA KAZI KWA ASILIMIA HAMSINI KWA HAMSINI.

#grandpow
IMG_20180905_170832_390.jpg
download-4-640x542.jpg
 
Je tunaweza kutazaji thamani ya BTC kufikia tena juu ya 10,000Usd? Nini kimeikumba BTC katika soko la cryptocurrency??
 
Je tunaweza kutazaji thamani ya BTC kufikia tena juu ya 10,000Usd? Nini kimeikumba BTC katika soko la cryptocurrency??
Nadhani ,tatizo ni watu, kuto amini technology, na pia kuna watu, ndo wanaanza kujifunza blockchain technology, hivyo watu hao hufanya majaribio Mara kwa Mara katika uwekezaji ,huu wa cryptocurrency, ndo maana bei inapanda na kushuka pia.
 
Je kuna tumaini ya kufufuka tena?
 
Naiona iko kwenye minor support, yaweza kupanda na kurudi kwenye nafasi yake
 
Hii inaweza kuwa ndio mwanzo wa kishuka BTC mazima
 
Back
Top Bottom