BSc Mechanical Engineering au BA Accounting achague ipi

BSc Mechanical Engineering au BA Accounting achague ipi

Mkuu labda zamani ila sio Sasa, Vijana wa FTC na bachelor holder wa mechanical engineering kitaani wamejaa na hawana Cha kufanya yeye asome anachopenda ..., Akisoma kufuata ajira atashindwa tu MTAANI baada ya kumaliza
Dah... ndiyo tatizo la "KUCHAGUA" kozi za kusoma...
 
Mkuu ww umemaliza kila kitu na Kuna vingine nimevishuhudia live na vingine vimenitokea mimi mwenyewe.
Mimi mwenyewe nililazimisha kusoma Engineering na nikafanikiwa kumaliza.
Sasa kinachotokea nikienda kwenye interview ya kujieleza huwa nafaulu na kwa kishindo na kazi napata.
Lkn kinachonisumbua Sasa ni kwenye huo utendaji wa kazi.
Najikuta muda mwingi napenda kuandika proposal mbalimbali kuhusu mazingira ya kazi,budget, quality and process improvement, management styles recommendations,staff rights,na hivi vitu sijasomea lkn najikuta vinakuja tu vyenyewe kichwani mwangu.
Sasa sijui ningesomea fani gani hapo ili iendane na mimi?
Tunahitaji mwalimu wakufundisha kozi ya ufundi magari(MVM) na umeme wa magari(Auto electrical) kwa vijan wa kozi za VETA level 1-3.
Kama una interest na unaweza tuwasiliane -0717157640
Na pia unaweza tutuma CV YAKO kidtcollege@gmail.com
 
Vigezo vinavyohitajika ni vipi?Okay bahati mbaya mimi niko mbali kwa sasa sitamudu ila ngoja niwatumie rafiki zangu hii fursa

Sent from my SM-C7000 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom