Rajabu Visenti
Member
- Jun 11, 2019
- 34
- 16
Ipi itamfaa kwa kujiajili na kuajiliwa kati ya hizo fani mbili wadau.
Sawa sawa mkuu, na utakua na idea kuhusu ajira za akaunti mkuuNenda Mechanical. Nakuhakikishia hutojuta.. japo itaidi upige msuli kweli kweli. Ila mechanical ni moja ya kozi mama ambazo hajira zake huwa hazikosekan
Kama hujui unapoenda,njia yoyote itakufikisha.Nenda Mechanical. Nakuhakikishia hutojuta.. japo itaidi upige msuli kweli kweli. Ila mechanical ni moja ya kozi mama ambazo hajira zake huwa hazikosekan
Mkuu labda zamani ila sio Sasa, Vijana wa FTC na bachelor holder wa mechanical engineering kitaani wamejaa na hawana Cha kufanya yeye asome anachopenda ..., Akisoma kufuata ajira atashindwa tu MTAANI baada ya kumalizaNenda Mechanical. Nakuhakikishia hutojuta.. japo itaidi upige msuli kweli kweli. Ila mechanical ni moja ya kozi mama ambazo hajira zake huwa hazikosekan
Mkuu labda zamani ila sio Sasa, Vijana wa FTC na bachelor holder wa mechanical engineering kitaani wamejaa na hawana Cha kufanya yeye asome anachopenda ..., Akisoma kufuata ajira atashindwa tu MTAANI baada ya kumaliza
Kama hujui unapoenda,njia yoyote itakufikisha.
Huyo anayetaka tumsaidie kuchafua kozi ya kusoma,bila shaka ni kijana wa kidato cha nne au sita,sasa wajameni! Mpaka unamaliza vidato vinne/sita haujajua unataka kusomea nini elimu ya juu!nyie watoto wa siku hizi mbona shida sana!
Mimi nilijua nataka kusomea nini nikiwa shule ya msingi.nilipoingia kidato cha kwanza tu,nijakutana na fizikia,na kemia,sikuwa na shaka tena,nikajua hapa ni uhandisi tu,tena wa Telecomunication/IT,
Sasa wewe mpaka sasa haujajua,wakati mwingine swala la kujiriwa au kujiajiri halitegemei umesomea nini,kuna watu wamesomea sheria lakini wamefungua studio za kupiga picha.kuna watu wamesomea udakitari sasa hv,wamejikita kwenye kilimo na ufugaji.
Kuna watu wana BBA,lakini mtaani wanapiga kazi za IT!
Ushauri wangu,kila kozi inafulsa zake,soma kitu ambacho unafikiri kitaweza kufungua talents zako za ndani,
Kuna watu wamesoma uhandisi wa umeme,lakini wamefungua kampuni za kutengeneza fanicha,
You have a point. Lakin somo la kujiari ni somo gumu sana kwa vijana wa sasa. Haswa haswa hawa .com. Enzi zangu inaweza isiwe ngumu..
Hii kozi inampa wigo mpana kujiajiri ama kuajiriwa.. iko open. Atafute balance sasa..
Aende BAEDIpi itamfaa kwa kujiajili na kuajiliwa kati ya hizo fani mbili wadau.
ShukrAn ndugu.Mim nilkua naulizia kaz y kufanya kwA short tyme,kwA miez hii michacheMECHANICAL Engineering
Ndugu n mesomA CBG.DreAm kama n kupga diplomA basi n clinical medicineAna kichwa kipi?
Mkuu ww umemaliza kila kitu na Kuna vingine nimevishuhudia live na vingine vimenitokea mimi mwenyewe.Upo ujinga wa kudhani ukiwa unafaulu mitihani unaweza soma chochote. HAPANA.
Tabia na hulka ya mtu ina mchango mkubwa kwenye kuamua taaluma ya mtu. Mtizame kijana maisha na mienendo yake utajua japo kwa kiasi mwelekeo umpasao kwenda.
MIFANO.
1. Kama mtu ni wasafi type , masomo ya ufundi hayamfai.
2. Kama mtu sio mwaminifu, na hana nidhamu ta fedha zake basi masomo ya fedha na biashara hayamfai. Atafungwa bure na atawalaumu.
3. Kama hawe kusoma kwa muda mrefu na hapendi kuchora hapo ufundi babai.
4. Utakuta mtoto hawezi hata kuchinja kuku na anaona kinyaa kila kitu na huku anataka kusimea fani za afya kama uuguzi na udaktari na maabara. Hataweza practical zake japo anaweza faulu darasani.
5 utakuta mtu mfupiii anataka uaskari au ualimu au udereva. Ubao una vipimo vyake hivyo unakuta hata nusu ya ubao hafikii. Wapo watu akikaa vizuri aadjust kiti cha gari vizuri ama haoni mbele au miguu hakanyaji break na clutch vizuri kwa magari yaliyo mengi.
6. Watu wengine ni wenye hasira kali na bado wanasomea kazi za ushauri nasaha wakati wao wanauhitaji.
Mtathmini kwanza kijana kabla ya kumshauri maana wewe ndie uliye nae huko.
Watu wengi hawafurahii kazi walizosomea baada ya kugundua haziendani na uhalisia wao wenyewe.
soma mecanical maana hata ukikosa ajira kuna uwezekano wa kujiajiri mwenyewe ila hiyo accounts utajiajiri vipiIpi itamfaa kwa kujiajili na kuajiliwa kati ya hizo fani mbili wadau.
Yes uzur wa Mechanical ni rahisi kupata kazi na pia unaweza kujiajiri hata kwa kusimamia gereji.soma mecanical maana hata ukikosa ajira kuna uwezekano wa kujiajiri mwenyewe ila hiyo accounts utajiajiri vipi
Dah...hadi hapo tayari ushafeli... kikawaida mtu hachagui kozi...ila kozi ndiyo inamchagua mtu...Ipi itamfaa kwa kujiajili na kuajiliwa kati ya hizo fani mbili wadau.
