Bsc in Radiology and Physiotherapy

davyventure the great

Senior Member
Dec 2, 2023
131
184
Habari zenu Wana JF,

Mimi nahitaji kufahamu kuhusiana na hizo kozi mbili upande wa kuajiriwa na kujiajiri Kati ya radiology na physiotherapy nikianza na radiology naona kwa Tanzania teknolojia Bado ni ndogo ila sifaham sana kwa upande wa mahospitali ambayo Yako Tanzania au nje ya nchi je kunahuhitaji wa Wana radiolojia na hao hao watu wa therapy.

Anayefahamu kuhusu hizo kozi karibu
 
Habari zenu Wana JF Mimi nahitaji kufahamu kuhusiana na hizo kozi mbili upande wa kuajiriwa na kujiajiri Kati ya radiology na physiotherapy nikianza na radiology naona kwa TZ teknolojia Bado ni ndogo ila sifaham sana kwa upande wa mahospitali ambayo Yako TZ au nje ya nchi je kunahuhitaji wa Wana radiolojia na hao hao watu wa therapy
Anayefahamu kuhusu hizo kozi karibu

Sent from my Pixel 4a (5G) using JamiiForums mobile app
Utaishia kuwa mwalimu wa Jim. Fanya mpango wa kukata kidali mapema
 
Back
Top Bottom