Bsc Agriculture General..!!!

Ze_Papirii

JF-Expert Member
Oct 12, 2018
416
809
Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri?????
 
Jina lake tu tayari lishakupa jibu zuri tu. Sasa wewe unataka nini hapo?
 
Jamanii eee nisaidieni mdogo wangu amepata hyo cozi pale SUA vipi ina mashiko kwa waliopitia hyo au wanaoifahamu na je inawezekana kujiajiri?????
Kujiajir ni kipaji sio kusomea mkuu, hasa kwenye hili swala la kilimo
 
Kajiriwa au kujiajiri vyote vinawezekana cha msingi kasome halafu mengine yatafuata
 
Back
Top Bottom