Bsc Agricultural economics and agribusiness

Musoma Yetu

JF-Expert Member
Mar 11, 2016
2,627
2,000
IPO vizuri tu. Vijana wengi waliosoma pale sua hiyo kozi ni maafisa mikopo crdb, nmb, NBC!
 

HOMBOY

JF-Expert Member
May 16, 2016
1,433
2,000
Salaam wandugu na poleni kwa majukumu ya hapa na pale ya ujenzi wa taifa na kijana wangu amechaguliwa kozi ya agricultural economics and agribusiness pale SUA nataka kujua hii kozi ina husika na nini na anaweza kuwa nani apo badae na vipi kuhusu swala la ajira ina future nzuri au haina kwa sababu baba yake sina pesa ya mtaji niseme nimpatie ili ajiajiri hapo badae.
anafursa kubwa ya kujiajiri hapo baadaye.najua atasoma kwa raha kwa sababu mkopo atapata zaidi ya 90%
 

MZEE MSASAMBEGU

JF-Expert Member
Apr 19, 2013
2,786
2,000
Mkuu naona kila kitu ni wewe...aliyemaliza agribusiness anaomba ushauri wa kutaka kusoma CPA wewe....mwenye mtoto anayeenda kusoma agribusiness sua ni wewe
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom