Bruuuum, bruuuuuum

lol! siwezi kukosa hiyo vip party, tena ndo ntanunulia hivyo viatu vya gear. ila hakikisha kama kila mgeni unampa sports car,mie hiyo audi tu mamii.manake kwenye kigoda sienei! 4-wheels ndo napenda zaidi,unavurumisha anywhere,no limitations! afu unanisingizia, mi napenda magari,so anything with wheels will take me places as long as sio mambo ya kuzimika ama kuchemsha njiani,lol

now this is sexy. nimekusamehe ile dhambi ya kwanza, ilimradi iwe na kiyoyozi ili ndani iwe safiiii!
Unamaanisha hili

sigma,hujatutendea haki! wenzio tuko fantasy land, tunaota tumekuwa matajiri afu ww unatuamsha usingizini! utaambulia ngumi ye mdomoni!
The Following User Says Thank You King'asti for This Useful Post.
Sigma
(Today)

hahahahah nadhani vile viko ndani ya gari tayari
yaani unaondoa tu kisigino na kjuendesha (I'm just guess'n )lol

hashahahahaah wanatakiwa waanze kufikiria kuhusu wanawake maaana
tumetokea kupenda magari sana na pia ni hobby ya wengi ..

Hivi ya JK ikoje ??
nani brand gani??
Hi ndo ya Kikwete, akimlaki Mozambican President Armando Emilio Guebuza. Ila ana version nyingi mara Mercedes, BMW saloon, X5 si unajua tena ndugu yetu.

wenyewe wanaiita the beast! ukiona zone reality wanaelezea features zake utakoma! utadhani airforce 1!

haya mamito tukutane basi baadaye pale pale nkupe ticket yako..🙂
usjali hito audi ina jian lako all over 🙂 ila itabidi uje na mimi kwenye
ka sport ka kangu tuka zuge kidoncho .. hahahaah lol

usema ukweli 4wheeler ni nzuri sana kama una familia......

Hizi Gari Sports siziwanii tena anayezipenda nina Celica GT-202 Nimuuzie Ipo Garage ya Wachina Mwenge anipm nimuuzie ikiwa huko huko

Hi ndo ya Kikwete, akimlaki Mozambican President Armando Emilio Guebuza. Ila ana version nyingi mara Mercedes, BMW saloon, X5 si unajua tena ndugu yetu.

Dahhhhhhh
Kumbe mkuu yumo ..
Na hiyo kitu kizuri hapo nyuma ni chake (aeroplane)??

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…