philipophilipo
Member
- May 16, 2020
- 88
- 95
Hivi kati ya Justin Bieber na Bruno Mars nani zaidi?
Watu wamuziki tusaidiane kidogo hapa..
Watu wamuziki tusaidiane kidogo hapa..
Bruno Mars,kwanza unaijua sayari ya Mars...???Hivi kati ya Justin Biber na Bruno Mars nani zaidi?
Watu wamuziki tusaidiane kidogo hapa..
Ndipo anapotoka?Bruno Mars,kwanza unaijua sayari ya Mars...???
Yeah,na ndo Mana anaitwa BRUNO MARS.Ndipo anapotoka?
😂Yeah,na ndo Mana anaitwa BRUNO MARS.
Bruno Mars kwenye uandishi,matumizi ya musical instruments, na vocal yupo vizuri zaidiHivi kati ya Justin Biber na Bruno Mars nani zaidi?
Watu wamuziki tusaidiane kidogo hapa..
Pia ana views nyingi YouTube kuna video yake moja ina views bilion 3.2,anajua kucheza jukwaani pia and maintain muda mrefu kwenye gameBruno Mars kwenye uandishi,matumizi ya musical instruments, na vocal yupo vizuri zaidi
sema Bruno aheshimiweHivi kati ya Justin Biber na Bruno Mars nani zaidi?
Watu wamuziki tusaidiane kidogo hapa..
😂😂😂😂Hii complement si ya kitotoYeah,na ndo Mana anaitwa BRUNO MARS.
Kwenye views bieber weka mbali na watoto. Ila talentwise, bruno yuko vizuri!Pia ana views nyingi YouTube kuna video yake moja ina views bilion 3.2,anajua kucheza jukwaani pia and maintain muda mrefu kwenye game
California love