Bruno Mars vs Justin Bieber

bruno mars ni balaaa nyingine
nahisi huyu jamaa anamfuata kwa ukaribu kabisa mj ktk suala la umiliki jukwaa
 
Naona ushabiki umekuwa mwingi kuliko uhalisiaa.. Toka nisikia Grenade hadi leo naona kimyaa...!! Achana na Justin vijanaaaa...
 
Uptown Funk
Japo Bruno Mars kashirikishwa hii ngoma, ila huwa haichochi kuisikiliza.

Bruno Yuko Vizuri Aisee
 
Yaaaan kumkompare Bruno Mars na Jb ni dhambi kabsa,sijui kama inasameheka😜😝🙊🙈.
Japo jb yupo vizuri lakin kwa Bruno atasubiri sanaaaaaaaaaaa

Kanzia utunzi, instrument,kumiliki jukwaa,kucheza na vocal lenyewe.yaaaan siku nikihudhuria concert yake live haki wabongo hamtopumua.
 
Binafsi naona Bruno mkali sababu Ana vocal kali lakini pia katika suala la kudance pia yupo vizuri tofauti na JB.
 
Pia ana views nyingi YouTube kuna video yake moja ina views bilion 3.2,anajua kucheza jukwaani pia and maintain muda mrefu kwenye game

California love
Kwenye views bieber weka mbali na watoto. Ila talentwise, bruno yuko vizuri!
 

Similar Discussions

1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom