Brotherhood Love

Brotherhood Love

Bavaria

JF-Expert Member
Joined
Jun 14, 2011
Posts
53,109
Reaction score
53,632
Bhu3aFMIYAAf6Yx.jpg
 
jua na mvua bora nini ?
mbona mnanichanganya wenginr jua wengine mvua

naimba tu
 
We Bulldog mbona umewabebesha watoto mabag makubwa kuliko umri wao aise
 
Last edited by a moderator:
Kuna sheria ya shule zao na si kama bongo hapa ni kitu cha kwaida kama daftari mkononi au mfuko wa karatasi na wa rambo na mifageo na kidumu cha maji cha ltr 5 kila siku
 
Umeona eeh wa kwangu hadi ananibeba juu kwa juu hadi watoto wanasema u r lucky brother wako anakupenda .

Umenitamanisha, me sikubahatika kuwa na kaka mkubwa. But namshukuru Mungu amenikutanisha na watu ambao wananitreat kama dada yao wa kuzaliwa haswa my cousin brod. Its a beautiful feeling and experience kwa kweli.
 
Hongera my dear walau umepata anaekujali kama kaka wa damu...kudeka kwa kaka raha sana
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom