Brother Mo Dewji, seriously??

Inategemea, wewe umekulia kwenye stoo ya weusi, muhindi utamtoa wapi, lakini yy ni muhindi/whatever na kakulia kwenye stoo ya weusi! Hebu angalia hii scenario!!!!!
Mtoa mada amesema ilikuwa ni birthday. Birthdays tunaalika marafiki wa karibu na yy labda hana hao marafiki weusi. Na pia tunawafahamu hawa watu weupe walivyo! Why tulazimishe ukaribu nao! Ndivyo walivyo hawataki mazoea na watu weusi kwa sababu wanazozijua wao. So its not a big deal..
 
Hv hawa watz wenzetu biashara zao zote zinakuwaga na ki element cha family business si usishangae
 
Kweli this is disgusting...!!! Wacha mseme mnaosema kuhusu haki yake kuwa na wahindi watupu kwenye manejimenti yake lakini common on hata nchi zilizoendelea ambazo zimezaliwa na kukulia na ubaguzi eg Marekani, Uingereza, nk mpaka sharia zipo kusisitiza diversity!! Unajua hawa Wahindi kesho na keshokutwa wasije laumu watu kama Uganda ilivyokuwa wanajisahau sana halafu kuna bendera kabisa ya Tanzania pale!! Matusi haya walah tena!!! Kila la heri Mo Dewji
 
Reactions: SDG
Hivi huko serikalini kuna muhindi kwenye nafasi za uongozi?
 
Reactions: SDG
Mbona iliposambaa hii mliufyata? , mijitu nyinyi
 

Attachments

  • Ch6RH9qWUAUkeJD.jpg
    60.5 KB · Views: 40
Reactions: SDG

vitu vingine hata sio vya kulalamika Wahindi wanafahamika.
 
Reactions: SDG


Sasa mbona unajichanganya mwenyewe? Unamshutumu kwa kuwa na watu wake, hapo hapo unajikomba kwa kumuita brother, tangu lini Muhindi akawa na brother nigga kama wewe? Acha kujikomba na kujipendekeza kwa watu wasiokuthamini, wekeza muda na rasilimali zako kwa watu wako, ndivyo wenzako wanavyofanya na ndiyo maana yeye kwa kuwa anajitambua yuko na watu wake!
 
kwa hii speed na "ubize" wa kuifukuzia tz ya v-wonder,sidhani kama kuna mtz atapata mda wa kusoma hayo maandishi yote.

Ingetosha sana kama unge-summarize.
 

Ukute walialikwa hawakuenda..mtu mweusi ni inferior sana...au ukute aliona ukataji keki ni tamaduni za kizungu au ni ubishoo so wakapotezea..mtu mweusi si wa kumchukulia dhamana..ana ujinga ujinga flan hivi amazing
 
Kama hujawahi kuishi karibu na hawa tunaowaita Watanzania wenye asili ya Asia ndio utashangaa! Hata awe rafiki yako vipi huwa wana element za kuwatenga watu wasio na asiki yao
 
Nitajie waziri gani mhindi au mzungu? Acha hizo
 
mshabiki wa simba wanakua kama ng'ombe

mooo
mooo moo
moo moo moo
moo moo moo moo
moo moo moo moo moo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…