Brother Mo Dewji, seriously??

Watanzania wengi wetu tumejazwa wivu. Akishaonekana mtu mweupe kafanyikisha/katoka ktika umackini watamzunguka wee na kumuongelea vibaya. Watanzania bana shida 2pu
 
Mimi ndiyo, maana hadi naenda kaburini sitakaa nikubaliane na issue ya mtanzania mwenye asili mara ya Asia mara asili ya arabuni, sijui ya Somalia.

Nenda India, Arabuni uone Kama kuna mtu anajiita Muarabu au Muhindi mwenye asili ya Tanzania, hakuna kitu kama hicho.
Iweje kwetu iwe kwao, Ila kwao pawe kwao tu!?

Niwabaguzi ni kama chawa zao za kila kona ya miili yao, viazi kabisa.
 
Magufuli baba. waarabu,wahindi na wachina wametutoa mbali mno kimaisha. MZEE BAKHRESSA kaajili wafanyakaz wengi mno,MO, ROSTAM nk wengi sana.

MAGUFULI ISHI NAO KWA UZURI HAWA VIUMBE.
 

Katiba ni maandishi Kama maandishi mengine tu.
Yanafutika, yanabadilishwa na yanatenguliwa.

Nimeishi nje miaka mingi sana, ila wanakuambia nchi ni zao hakuna huo ujinga, hata uone Katiba yao imeandikwa Ila wewe na mzawa asilia hutakaa uwe naye sawa hata dakika moja.
 
Wapo wabunge
 

Mkuu.nenda nchi za ualabuni kajionee alafu uje na feedback hapa. India ckujui. alakini ualabuni hakuna hicho ki2 unachokisema. Waafirika wamejaa chungu nzima ndani ya Gulf countries na wanapewa haki sawa wote. Na wanafulahia maisha wanayoishi kuliko hata weye au raia wa kigen wanaoishi hapa bongo mackini/njaa 2pu
 
Shukrani sana mkuu. Nina maswali kidogo
Je hii inamaanisha mtu ambaye wazazi wake ni Tanzanians by birth ila yeye alizaliwa nchi nyingine anahesabika kama raia wa Tanzania bila kupepesa macho?

Je kuna ulazima au haja ya mtu huyo kukana uraia wa nchi aliyozaliwa anapofikisha miaka 18? Na je asipofanya hivyo anakuwa liable kwa sheria ipi?
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
Wewe unajuchanganya nao?

Anyways.

Kila mtu ashinde mechi zake!
 

Inawezekana kabisa ni watu wa familia wote. Mara nyingi kampuni zao zinaendeshwa kifamilia
 
Hii ni taasisi binafsi, kwanini usishangae ktk teuzi za serikali huoni mtz mwenye asili ya kiasia, hawana weledi?, hawaaminiki?, hawajasoma? au ndio walie ndege wote akilia bundi tu ni uchuro.?!?!?!?
 
Yupo sahihi! Hakuna mdanganyika ambae yupo serious ndiyo maana jiwe anatufanyia anavyotaka!
 
Hao ni wabaguzi sana, jiulize tu tunaishi nao na wanajiita watanzania lakini hawaoani na sisi, hawaishi maeneo yetu wanajitenga kabisa mie kwenye hili la wahindi huwa namuunga mkono marehem Mtikila
umenikumbusha kila mji ukienda utakuta kuna "mtaa wa uhindini"

wahindi huwa ni wabaguzi balaa kwenye kuoa/kuolewa maana wao wenyewe wanabaguana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…