Brother ananishawishi nitembee na Mkewe kabisa wa Ndoa

Mh kama umesema ana hela si afanye insemination kwanini aruhusu mkewe kugegedwa??
Fix hiz
 
Ni muda kiasi nmekuwa na changamoto hii katika mahusiano na brother wangu. Ni watu wa karibu sana tunaopendana mimi ni mdogo wake wa pili. Bro toka ameoa tena kwa kuchelewa kidogo ni miaka miwili na nusu sasa. Mimi nlioa zamani kiasi na nikafanikiwa kuwa na watoto watatu. Wawil wa kiume na mmoja wa kike.

Kaka yangu amehangaika sana kutafuta mtoto. Sana. Na bahati nzuri yeye kiuwezo yupo vizuri so pesa si tatizo kwake. Lakini ameekuwa akiwambiwa kuwa hana uwezo wa kumpatia mwanamke mimba.

Yapata mwezi sasa amekuwa akinifuata na kuniomba nitembee na mkewe nimpatie ujauzito then yeye alee na mkewe. Mara ya kwanza nlidhan amelewa. Haikuwa hivyo. Alikuwa sober kabisa. Akaja akanambia tena kuwa anaomba nimpatie mimba mkewe.

Last week alikuja na mkewe home tukaongea na baadaye akaomba tutoke wote watatu na mkewe tukae tuongee jambo.huko akanambia kuwa wamekubaliana na mkewe nifanye naye mapenzi siku za kupata mimba apate mimba.shemeji yangu alionesha kukubaliana na jambo hili kwa amani kabisa.

Nikawaambia wanipe muda nifikiri.nmefikiria sana nikawaambia kama wapo serious nawapa week moja kila siku wawe wanatuma meseji kila mtu kwangu akisisitiza jambo hilo. Kweli wamefanya hivyo. So limebaki kwangu. Mke wa bro ni mzuri sana tu. Ni mke ambaye hata mimi ngeweza mwoa. So tatizo si mvuto...she is attractive and so sexy. Nawaza hili jambo nifanyeje?

Mke wangu sijawambia. Wazazi hatujawaambia. Ni mimi, bro na shemeji yangu tu ndo tunafaham.

NB: Wadau, mimi ni Mwandishi tu mwenye mkasa ni mtu mwingine.
Tuma picha tusaminishe kama hata mimi naweza kuchukua tenda mkuu
 
Washauri huyo brother akapime ili kujua chnazo ni nini, yaweza kuwa ni tatzo la kawaida tu la kutopevuka kwa mbegu, ama mbegu kuwa chache, .ambapo ni tatzo unaweza kusolve kwa kutumia tu supliment kama zinc.
Huwa napata sana kesi kama hizi, ni mtumishi Wa afya. Hivo tatzo linawwza kupata ufumbuzi aende hospitali kupima
 
Dangerous desire movie ya kanumba na Mnywa maji Ray kitambo Sana mkuu umenikumbusha
 
[QUOTEwewe kweli huna Kazi ya kifanya="GuDume, post: 23969241, member: 269577"]Ni muda kiasi nmekuwa na changamoto hii katika mahusiano na brother wangu. Ni watu wa karibu sana tunaopendana mimi ni mdogo wake wa pili. Bro toka ameoa tena kwa kuchelewa kidogo ni miaka miwili na nusu sasa. Mimi nlioa zamani kiasi na nikafanikiwa kuwa na watoto watatu. Wawil wa kiume na mmoja wa kike.

Kaka yangu amehangaika sana kutafuta mtoto. Sana. Na bahati nzuri yeye kiuwezo yupo vizuri so pesa si tatizo kwake. Lakini ameekuwa akiwambiwa kuwa hana uwezo wa kumpatia mwanamke mimba.

Yapata mwezi sasa amekuwa akinifuata na kuniomba nitembee na mkewe nimpatie ujauzito then yeye alee na mkewe. Mara ya kwanza nlidhan amelewa. Haikuwa hivyo. Alikuwa sober kabisa. Akaja akanambia tena kuwa anaomba nimpatie mimba mkewe.

Last week alikuja na mkewe home tukaongea na baadaye akaomba tutoke wote watatu na mkewe tukae tuongee jambo.huko akanambia kuwa wamekubaliana na mkewe nifanye naye mapenzi siku za kupata mimba apate mimba.shemeji yangu alionesha kukubaliana na jambo hili kwa amani kabisa.

Nikawaambia wanipe muda nifikiri.nmefikiria sana nikawaambia kama wapo serious nawapa week moja kila siku wawe wanatuma meseji kila mtu kwangu akisisitiza jambo hilo. Kweli wamefanya hivyo. So limebaki kwangu. Mke wa bro ni mzuri sana tu. Ni mke ambaye hata mimi ngeweza mwoa. So tatizo si mvuto...she is attractive and so sexy. Nawaza hili jambo nifanyeje?

Mke wangu sijawambia. Wazazi hatujawaambia. Ni mimi, bro na shemeji yangu tu ndo tunafaham.

NB: Wadau, mimi ni Mwandishi tu mwenye mkasa ni mtu mwingine.[/QUOTE]
 
Mkuu hizo movie za kinaijeria si wote wanatizama. Ninyi mnaozitizama huwa mnaamini wote wanatizama. Mnakosea sana.

Dangerous desire movie ya kanumba na Mnywa maji Ray kitambo Sana mkuu umenikumbusha
 
Ukilamba sukari huachi, watch it not to that extent.
Naunga mkono kufanya insemination.

Wivu wa mapenz na kutojiamini kukija kutawagombanisha kama P square.
 
Jiulize heshima itakuwa wapi?na bro wako akimtaka mkeo utakubali?jiulize kwanza kabla hujachukua maamuzi unaweza kupata donda la maisha lisilopoona
 
Achana na hiyo kitu...Mwambie bro akaonane na Dr ni vitu vya kawaida na vinatokea kwa binadamu asiwe na haraka wala pressure...Watoto atapata wengi tuu.

Amkumbuke Muumba wake kwa sana coz mengine ni majaribu pale tunapo jitenga na Muweza wa yote.
 
Back
Top Bottom