babyclassic
JF-Expert Member
- May 22, 2015
- 227
- 39
prado
I assume and beleave to be true that...Una upeo mzuri and so u date a person mwenye upeo mzuri pia...basing on this assumption nw....naamini lazima kutakua na sababu ya yeye kufanya hivyo....iwe kubwa or ndogo....reasonable or unreasonable....and mind you...KWENYE MAPENZI HAKUNA JAMBO DOGO.....
So..my advice is....find him...tok to him face to face....then find out from him what hapened....kama ulimkosea pasipo kujua...u know wat to do....na kama ana mambo yake tuu....u l know what to do in a better way kuliko kukaa tuu na hujui exactly what is goin on.. (sory for mixing up languages).
inaonekana watu wengi huku JF wana experience ya kupigwa chini kwenye mapenzi maana mna maneno ya kuhuzunisha sana.
inaonekana watu wengi huku JF wana experience ya kupigwa chini kwenye mapenzi maana mna maneno ya kuhuzunisha sana.
nazikataa sana nikiona karibu kuachwa nakimbilia kuacha mimi, nakuwa safe na maumivuHahahha wewe hauna hiyo experience?
nazikataa sana nikiona karibu kuachwa nakimbilia kuacha mimi, nakuwa safe na maumivu
Eeeh hongera basi
hahaha duh hiyo hongera ya shingo upande kabisaa
Pole san hat Mimi yalinikuta kama yako but now nishaanza kusahau najichanganya na watu naangalia muv na kuchza gem
Pia epuka kukaa mwenyew na kusikiliza nyimbo za taratibu kama kuna watoto jaribu kua nao karibu ukicheza nao. Yataisha tuuu
Pole sanaaaaaa akikukataaa jua kakuepusha na mengi
Prado, please take note of this.
Kuna mwimbaji wa zamani jina lake Zuhura Swaleh alishaimba 'mtu akikukataa na wewe wamtakiani'
Nimeitafua hiyo nyimbo kwenye youtube ili nikuwekee lakini sikuipata.[/QUOTE
Naisubir