Broken hearted

Huyu mdada anaonekana mpole mwenyewe - Mnyenyekev na anaendelea kuumia
 
Just stay put and u wil get better...Mungu hua anajua nan chaguo sahihi so if it didn't work out mshukuru Mungu and move on
 
Hatua ya kwanza ni kutafuta sababu ya yeye kuchukua maamuzi hayo kisha jaribu kureconcile nae na kama atakuwa mbishi, acha kumfuatafuata, wakati mwingine anahitaji muda wa kuwa peke yake ili akukumbuke.
Mwandikie meseji tu kuomba kujua sababu ya yeye kukufanyia hayo kisha umuache kwa muda ndio umuulize tena. Kama harespond, husisha watu na jibu atakalotoa ndilo litadetermine kama huo uhusiano uendelee au lah!
Endapo ataanzisha uhusiano sasa au utahisi yuko katika process hiyo, endelea na yako, kuna uwezekano hiyo ndiyo sababu, yaani alidhamiria kuingia kwenye uhusiano mwingine na wewe ulikuwa kikwazo na alitengeneza sababu zikaisha akaona atengeneze hilo zengwe.
Pia kuna uwezekano wewe umemfanyia kitu cha ovyo na kakijua ila wewe unadhani hajui na kukueleza anaona itazidi kumkera and so ameona akuache quietly bila kelele zisizo na faida.
Tafuta chanzo kwanza, ndio utajua kama uendelee kubembeleza au usepe kisela!
 

Wewe umeujua ukweli...
 
Una umri gani...6 years its alot, kweni hukuliona hili kama ni timewaster. Pole!

cc prado
 
Last edited by a moderator:

Pole sana i really feel your pain nshapata mtu kama huyo. Na akanifanya nione all men are the same.
Hawa watu hawaeleweki ukipenda sana they take advantage,ukiwa vuguvugu anaona humpendi.
Mi nimeamua kuwa baridi kabisa saiv kama nimepangiwa awe wangu atakua tu.
 
prado

just keep loving him he will return his feeling 2 u dont give up
 
Last edited by a moderator:
Kwani umezaa naye Prado? achana naye huna haja ya kuumiza moyo wako kwa sababu utasahau tu.ila kama mna mtoto ndio itakuwa tabu kwani ndie stakukumbushia baba yake
 
am so sorry for u. am really really afraiding of being broken heart but on my side I have started to accept and prepare my self that this is normal and it always happens although it sucks. broken part is the part of deal in our day life and life goes on... no matter what you have to accept the reality that you are no longer with him , and move on with your daily life, enjoy this gift of living to its fullest, life is full of challenges and beautiful things in it.. explore good things , enjoy ,..live a life forget abt that just try and try harder ,time will heal your heart and you will be fine... broken heart hurts just cry dont afraid and move on...i have never faced it but I can feel the pain through the crushes av been through, so i get you dear, I have seen some of my close friends and relatives passing through broken heart.. it sucks...give it a time and you will be okay.. Never forget God loves us in every way ,we are imperfects and He forgives us.. all the best in your ways.. wish you best recovery...
 
Kwani umezaa naye Prado? achana naye huna haja ya kuumiza moyo wako kwa sababu utasahau tu.ila kama mna mtoto ndio itakuwa tabu kwani ndie stakukumbushia baba yake

Nimeshangaa nikadhani umemwambia kazaa nae prado. Kucheki vema kumbe mtoa mada anaitwa prado lol
 
usijali my sis, mapenzi ndivyo yalivyo ni bahati sana kujikuta hujawahi umizwa. ila unaumia unapona unasonga mbele that's the spirit.
usivunjike moyo na usiape kuwa hutopenda tena, kwa sasa relax, jitahidi kumsahau-how? usiwe na mawasiliano nae kwani atazidi kukuumiza kwa majibu yake, futa picha zake kama unazo na chochote kile kitakachokupa kumbukumbu yake kiondoe. amini unaweza kuishi bila yeye na umwombe Mungu akupe mtu sahihi anaejua thamani ya kupendwa na atakaekuwa wa maisha yako.
huwezi jua Mungu kakuepusha na nini ni bora kakuacha mapema kuliko yangetokea hayo ukiwa tayari ndani ya ndoa, move on watu wanaojua kupenda na wanaothamini wapenzi wao wapo, wanaume hawafanani, pumzika upe moyo wako muda na nafasi, ipo siku utampata mwingine hadi ujiulize alikuwa wapi siku zote.
 
unaweza ila hutakiwi kupenda kwa moyo wako wote...ni Mungu tu ndio umpende kwa Moyo wako wote
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…