Broken hearted

prado

JF-Expert Member
Joined
Feb 7, 2015
Posts
216
Reaction score
130
Moyo unauma sana kisa hanitaki tena, sijajua kama ni hasira au ameamua kabisa sababu ya msingi siioni, ila ndo kaniblacklist, bad enough I was so committed na nilimpenda kwa Moyo wote kabisa, nikampa heshima zote anazostahili mume, I wish to move on but sina uhakika if I can love again, my heart fails me.

What do I do now?
 
Just know for sure, he was not worth all that. Time heals.
Let that stupid fool who doesn't know your worth go and give yourself a new start loving yourself more. Kumthamini mtu hakumaanishi atakuthamini hivyo hivyo. Pole, will pm you some links to read later
 
Pole sana i know how it hurts! nilishawahi konda sana kwa haya mambo!
 
But friend how will I face people, my family knows him, all of my friends and his too,we have more than 6years....moyo unauma,Hivi siku akifunga ndoa na mwanamke mwingine will I stand the pain?! After nimewakataa wengi Sana,kuna kipindi nlitaka kuchumbiwa nkakataa kabisa nkasema nyumbani namsubiri yeye,sometime I regret the day I met him
 
I know how it feels, lakini hakuna namna zaidi ya kujipa muda moyo utapoa tuu, ni hasara kwake kumpoteza mtu ampendaye kwa dhati kiasi hiki. Usikurupuke kuanzisha mahusiano mapya, jiweke bize na shughuli mbalimbali, anzisha hobby n.k. maisha yatasonga na utampata wa kufanana nawe atakayekuthamini na kuhofia kukupoteza. POLE saaaana.!!
 
sometyms it allowed to meet wrong pipo to get true ones. dont cry for somone,, he she cant help any yuh human.. seek for Jesus and His kingdom.

You're right bro but tatizo ni kumsamehe,ntaweza kweli kumsamehe?! Au ntakosa Mbingu kwa kushindwa kusamehe na kusahau,just pray for me!!
 
:hand:No more regrets, this is life and it has to go on with or without him. Just make sure you do not lose the lesson!
 
No

Always love yourself coz no one will don't expect some one to love you forever in his or her life people love others not 100% only GOD LOVE US 100% keep that on your mind
 
Are you a girl or a boy I don't understand your post first means your a girl but second one means your both boy and girl look in the bracket 👆👆👆

Me mwanamke ndg
 
Are you a girl or a boy I don't understand your post first means your a girl but second one means your both boy and girl look in the bracket 👆👆👆

Kwani mume anafunga ndoa na mwanaume mwingine?
 
ohhhh well, welkam in bachelorhooooooooood, as me just to seek Jesus everyday.. mim nishaasaaaau kupenda.
 
Pole sana changamoto ktk relationship haziepukiki. Tambua ya kuwa sio wewe wa kwanza kuumizwa.Wapo watu wengi ambao wameumizwa na wapenzi wao. Cha muhimu msamehe, kuwa busy na shughuli zako, Mungu atakupa mwingine.
 
Hayo ni mambo ya kawaida, we sio malaika wala yeye sio malaika.

Tafta series movie uanze kuangalia ukiwa idle, after sometym utakuwa powa sana.

Niliwahi kusitisha mahusiano, kesho yake nikarudi kujibembelezesha lakini waaap, after a week i was ok.

Move on, na usiishi kwa kuangalia watu eti itakuwaje lyk wewe ndio wa kwanza kuachika.

Dunia ya Mungu hii ina mengi kushinda hilo tatizo lako. Ukitaka kuamini kesho nenda hospital ujionee.
 
Come on prado, look around you. There's so much to live for. It was a life experience, now move forward and forget what happened, cherish the good moments you shared and move on. Kila la heri...
 
Last edited by a moderator:
Wengine wanakushauri uangalie movies,,,, kwa taarifa ako movies ni sumu, ukigusa tuu umekwisha,, mim ni mkristo na kama wewe ni mkristo ushauri wangu kasome kitabu cha Zaburi.. uone Mungu anavyo jali wajoli wake mimi na wewe pia. amina na ubarikiwe.
 
prado

I assume and beleave to be true that...Una upeo mzuri and so u date a person mwenye upeo mzuri pia...basing on this assumption nw....naamini lazima kutakua na sababu ya yeye kufanya hivyo....iwe kubwa or ndogo....reasonable or unreasonable....and mind you...KWENYE MAPENZI HAKUNA JAMBO DOGO.....
So..my advice is....find him...tok to him face to face....then find out from him what hapened....kama ulimkosea pasipo kujua...u know wat to do....na kama ana mambo yake tuu....u l know what to do in a better way kuliko kukaa tuu na hujui exactly what is goin on.. (sory for mixing up languages).
 
Last edited by a moderator:
Pole sana futa machozi na usonge mbele.kila mtu amepitia hiyo stuation si wa kwanza ww.mm niliumizwa na mwanaume niliyekua nampenda na nilitegemea atanioa lkn mwisho wa cku akaniacha solemba. Niliumia sana sana lkn nilichofanya nikafungua biashara mbili mfululizo nikawa nikitoka ofcn Saa kumi napita kukagua biashara nikawa busy muda ukawa haunitoshi Niko busy. mpaka leo Niko happy alishaoa lkn namuona wa kawaida sana.inuka futa machozi songa mbele.we walia mwenzio anafurahi.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…