Broken heart

Mkuu sasa mbona unataka nifukuzia ndege wangu? hayo mambo ya kuangalia urembo ni ya hawa vijana wa kileo wanaojiita mashalabano, sie zamani tulikuwa tunaangalia tabia. Kwanza mke mzuri ni matatizo tu...

Late Lucky Dube katika wimbo wake wa It's Not Easy alisema hivi, nanukuu, "Beautiful women, is another men's play thing."
So, LD mama niPM plz

Mwanaume ndo ana anza wewe, fuata protocal.
 
Huamini nini sasa?

unajua uzuri upo machoni mwa mtazamaji so siwezi sema lolote mpaka tukutane kama u tayari na ndio maana nikaomba pale kwenye pm pahusike zaidi
 
hehehe shosti sentensi ina utata hiyo. hapa unamaanisha kwako au hapa unamaanisha hapa JF?. mimi ni mpigaji debe asie rasmi wa broken heart katika hii sredi.

hahahaha namaanisha jf bwana,mie mtu mzima sana kwa mambo hayo...
 
mkuu isikusumbue hii, hawa jinsia ya upinzani ndio zao, hazarani huwa wanajifanya kukataa lakini mkifika ndani wao ndio wanaanzisha kiduku. hapa tunapiga soga tu la muhimu hakikiksha inbox yako ya PM ina chaji ya kutosha.

lets wait and see coz sp far bila bila.
 
mkuu isikusumbue hii, hawa jinsia ya upinzani ndio zao, hazarani huwa wanajifanya kukataa lakini mkifika ndani wao ndio wanaanzisha kiduku. hapa tunapiga soga tu la muhimu hakikiksha inbox yako ya PM ina chaji ya kutosha.

Kloro kazini!!!
 
hahahaha namaanisha jf bwana,mie mtu mzima sana kwa mambo hayo...
dah! kwa hali inavyokwenda nahisi broken heart imekula kwake. hili sredi langu la kutafta mchumba acha nilizuie kwanza, naona ngoma ngumu. warembo mnabana kama bajeti ya bongo?
 
dah! kwa hali inavyokwenda nahisi broken heart imekula kwake. hili sredi langu la kutafta mchumba acha nilizuie kwanza, naona ngoma ngumu. warembo mnabana kama bajeti ya bongo?

we ukilianzisha wataachia kama Chelsea!!!
 
heheheh dah! hapa kama broken heart ni mshabiki wa chelsea basi shosti ushatolewa kwenye kinyang'anyiro, inabidi usubilie sredi langu tu.

akinichomoa kala hasara huoni ddebe nnalopiga hapo...mpaka koo limekauka!
 
khaaa!
Vuta subira lakini. Watakuja tu.
sjawahi kusmamia kesi ya mtu halaf akakosa mchumba. anzisheni sred ya michango tu, hapa nitafanya makeke broken heart ataondoka na toto "paja mtelezo, hipsi la picha". halaf wewe hauruhusiwi kutuma CV yako kwa broken heart. sawa?
 
sio masihara....kiufupi CV yako itasaidia wengi wenye hitaji kama la kwako

cv yangu imeshiba sana na naamini atakae amua chukua hatua na kutaka kuwa nami lazima afurahi kwani muonekano wangu tu umesimama bado mengine
 
Nakushauri uende vyuo vikuu viko vingi sasa hivi, weka schedule ya kwenda pale getini unasubiri watoke darasani uangalie wa kukufaa. sisi humu ndani naona kama hatufit na hizo mbwembwe zako za wasomi wenzio. Watch out mpendwa kama ndiyo msimamo wako kwenye kutafuta mchumba nakushauri ubadilishe style kwa sababu utaanguka kwenye kisiki cha mpingo na kujuta juu.

Unless unatania! samahani kama nimekuudhi mimi ni binadamu tu.
 
Back
Top Bottom