Kuku hazaiSasa unakujale kuku anaezaa bila kupigwa pipe...☹️
AnatagaKuku hazai
Ukimuoka anakua mtamu kuliko aliyekaangwa!Tofauti na kukaangwa siwezi kumtumia
Mnakosea sana wasomi kubwabwaja mambo bila udadavuzi.Sasa unakujale kuku anaezaa bila kupigwa pipe...☹️
Ni mazoea tu, kuna watu hawawezi kula kitimoto cha kuchemsha au supu yake ila kitimoto ya kukaanga au choma wanafakamia, kuna wengine wengi wanakula kitimoto ya kuchemsha na supu yake vizuri tu.Broiler kwa supu hapana. Broiler mapishi yake wa kuchoma au wa kukaanga tena awe marinated vizuri kwa muda ndio apikwe. Ila supu mmhhh
Ulishawahi kuwafuga?Mnakosea sana wasomi kubwabwaja mambo bila udadavuzi.
Hao wanaotaga mayai ya kutotoleshea vifaranga, lazima "wagongwe' na jogoo ili yai liweze kutotolewa, vinginevyo haiwezekani.
Broiler wanachomkosea, hatokoswi supu ni kwa ajili ya kukaangwa tu, nyama yake ni teketeke mno.
Ukishamzoea hutataka kuku wengine.
Halafu watu wengi wanalishwa broiler kwa ajili ya brand ya jina 'kienyeji' lakini si wa kienyeji.
Kuku wengi Dar ni wa kisasa (chotara) huwezi jua kama siyo mfugaji, maana wanafanana sana sura na kuku wa kienyeji na wanaitwa wa kienyeji kwa ajili ya mahitaji ya soko.
Hapana kwa sie wa vijijini twawajua kwa kuwatizama miguuMnakosea sana wasomi kubwabwaja mambo bila udadavuzi.
Hao wanaotaga mayai ya kutotoleshea vifaranga, lazima "wagongwe' na jogoo ili yai liweze kutotolewa, vinginevyo haiwezekani.
Broiler wanachomkosea, hatokoswi supu ni kwa ajili ya kukaangwa tu, nyama yake ni teketeke mno.
Ukishamzoea hutataka kuku wengine.
Halafu watu wengi wanalishwa broiler kwa ajili ya brand ya jina 'kienyeji' lakini si wa kienyeji.
Kuku wengi Dar ni wa kisasa (chotara) huwezi jua kama siyo mfugaji, maana wanafanana sana sura na kuku wa kienyeji na wanaitwa wa kienyeji kwa ajili ya mahitaji ya soko.
Supu ya mdudu 🙄🙄Ni mazoea tu, kuna watu hawawezi kula kitimoto cha kuchemsha au supu yake ila kitimoto ya kukaanga au choma wanafakamia, kuna wengine wanakula kitimoto ya kuchemsha na supu yake vizuri tu.