Bro yupo chumbani kwangu na wife.

Bro yupo chumbani kwangu na wife.

Nenda kamchukue mke wa bro wako aje nae ajionee kama vipi jino kwa jino!
 
Hii inawezekana ikawa na ukweli wajameni.....mbona mtoa mada katoweka?
 
Wee unanyumba ndogo(wife)...sasa kaja kujadili kitu na mkeo ..either ujapeleka matumizi..ndo zenu nyie polisi..teh teh tehee.Anyway katulizie BALIMI.
 
si unajua kuchanganyikiwa unapokuta inshu kama hiyo unaweza ukazani unaangalia muvi ila nadhani jamaa alimaanisha bro kama ilivyo kwenye kichwa cha habari yenyewe
 
Jamani mwenzenu kadata hapo! Anamaanisha bro wake! Kweli ni shidaaa! Labda wanapiga maombi!
 
Back
Top Bottom