Bro yupo chumbani kwangu na wife.

mablaza wengine noma tupu, yaani amekosa wanawake wote mpaka atembee na mke wa mdogo wake.
Wana laana hao
 
Pole sana! Huyo mwanamke hakufai, hana justification yoyote kwa tendo hilo. Achana naye, ndoa imeshaingia doa (unfaithfullness) si rahisi kuheal.
Have courage kwa maneno yafuatayo:-
1: She is not worthy ur love, so good riddance!
2: It more her lose than yours!
3: Everything happen for a purpose; God is trying to tell u that she is not ur wife!
4: U don't know Mungu kakuepushia nini so just cool down'
 
Mkuu pole sana!

Labda nikuambie tu kuwa wewe siyo wa kwanza kufanyiwa kitu kama hicho, wao wengi lakini maisha yanaendelea kama kawa!

Hakuna haja ya kuwa stressed mkuu, achana nao wala usilumbane nao! Cha msingi jitahidi uwe mshindi. Wanawake niwengi tulia, anza moja utampata atakayekuheshimu. Huyo bro wako ukishatulia tatua mgogoro kwa amani utaishi kwa raha zako tena bila kinyongo huku yeye aibu ikimtesa kila wakati.
 
Ndo nafika kutoka job, mke wangu yupo ndani na wife, wamegoma kufungua mlango. Nimempigia mama simu huko mkoani, pia naondoka, nahitaji mapumziko na faraja, hakika hiki ni kipindi kigumu sana kwangu.

Duh! Pole sana Mkuu..Kama sikosei siku chache zilizopita ulilalamika hapa kwamba mkeo anamsifia sana ndugu yako hadi ukaanza kuwa na wasiwasi. Kama si wewe basi naomba uniwie radhi.
 
sijaelewa hii? mke wako yuko ndani na wife?
ndugu zangu hapa ndipo unaona mshikaji kweli mambo yamemchanganya, ki ukweli nafikiri alimaanisa kichwa cha habari kilivyo yaani [h=2]Bro yupo chumbani kwangu na wife.[/h]pole Humphnicky bora mumeondoka nyumbani, kwani katika utulivu ndipo utafanya maamuzi mazuri, maji yameshamwagika, tulia
 
  • Thanks
Reactions: BAK
Tafuta watu,vunja mlango alafu washushieni kipigo cha kufa mtu.dhambi mbaya sana hiyo
 
hii stori ya kutunga, yani mkeo anapewa dozi na bro wako na unapata ujasiri wa kupost jf badala ya kutafta ufumbuzi kwanza...
kadanganye watoto wenzako,
 
Huyo kaka yako ni mlafi sana na dawa ya mlafi ni ndogo,tandale kuna group sitataja jina ila ukiwa na laki 4 na nusu leo leo nayeye anamegwa hapo nyumbani tena kimyakimya..kaka gani huyo asiye na adabu.
 
ndugu zangu hapa ndipo unaona mshikaji kweli mambo yamemchanganya, ki ukweli nafikiri alimaanisa kichwa cha habari kilivyo yaani [h=2]Bro yupo chumbani kwangu na wife.[/h]pole Humphnicky bora mumeondoka nyumbani, kwani katika utulivu ndipo utafanya maamuzi mazuri, maji yameshamwagika, tulia

Ni kweli jamaa inaelekea amechanganyikiwa kupita kiasi. Hii ni shughuli nzito sana na kama kuna watoto jamaa anaanza kuhofia labda watoto si wake pia.
 
haina haja maandiko matakatifu yanasema visasi tumwachie Mungu, ndio maana nimeondoka home

kweli aisee, wakimaliza na wewe ukirudi oga pata msosi na wewe uombe kama kawa.....mpe pole kwa kuchelewa kumaliza na wewe kuwasumbua, ukishamaliza sali ulale, kesho nenda kazinii na uchelewe kidogo ili ukirudi ukute wameshamaliza mambo yao... kama unaweza hama nyumba ili wao wabaki na raha zao na wewe ubaki mpweke kwani Mungu amekataza visasi na hata kuhoji mkeo au kaka ni visasi

upumbavu hauna ujazo mkuu....
 
Duh! Pole sana Mkuu..Kama sikosei siku chache zilizopita ulilalamika hapa kwamba mkeo anamsifia sana ndugu yako hadi ukaanza kuwa na wasiwasi. Kama si wewe basi naomba uniwie radhi.
mtunzi huyo mkuu.... angekua kafumania asingekumbuka JF
 
Lipiza kisasi tafuta mke wa bro na wewe jifungie nae tena ukimuelezea atakuelewa na atakubali kulipiza kisasa!!! upanga kwa upanga, mke kwa mke...aha!!! usikubali aibu hii fanya ngoma iwe droo!! yaani bila bila
 
Back
Top Bottom