Bro, kila mwanamke anacheat, anadanganya, analaghai

Wanaume hawahahiki na wanawake wala kujitia presha.Yaani how comes unamuuliza mtu body count (movie zinawadanganya), et baby unanipenda, jamaa yako wa zamani yuko wapi:Mwanaume unapekenyua huku kutafuta nini?? kupekua simu ya mke/mpenzi, kumfuatilia, kumkalia kooni utafikiri wewe ni Baba yake au Mungu wake.Wanaume wa kweli huko hawafiki, let life flow, yaani ugombanie mtu umemkuta kamaliza shule, chuo, wengine yuko kazini?Ujitie presha,unakichaa????

Mimi hata mtu kusikia anasema "Nakupenda" lazima ustuke, upendo wa kweli ni wa wazazi wako tu, wengine wote mtu akisema anakupenda ujue anafaidika na wewe, kuanzia mke hadi watoto.
Pia wanaume tunajua hatuko perfect hata 70%, nje huko lazima kuna wenzako wanakuzidi kitu, kuanzia muonekano, life style, confidence, kujiaminj, pesa, maisha, connections etc..maana yake mkeo anaweza akapata sababu ya kukuacha vizuri tu...ndo maana wazee wa zamani wanasema kitanda hakizai haramu, hawakuwa wajinga, walijua kiumbe chochote cha kike, kuanzia mwanadamu hadi kuku, wanavutiwa na vitu vingi sometimes kidume kimoja hakiwezi kuwanavyo.
Thus ukipigiwa, usipojua, shukuru Mungu, ukijua tumia busara, akiamua mvumiliane maisha yasonge mpaka uzeeni - unashukuru Mungu.
 
1000011976.jpg
 
Mkuu umeandika kwa hisia kali sana lakini mwisho wa siku hicho ulichokiandika kipo pande zote Me na Ke.

NB: Wanaume wema ambao hawana hizo tabia wapo na wanawake wema ambao hawana hizo tabia pia wapo.

Khalas
Mwanaume from the first place tayari kashajengewa character ya predator, tofauti na mwanamke yeye kapewa victim status na anaangaliwa kama harmless creature. Hapo ndipo upenyo wa kufanikisha jambo lake unapopatikana maana lazima mtu anaedeal nae atajisahau.

Mfano, upo barabarani unaendesha gari. Ukaona mwanaume anakupungia mkono kwa lengo la kuomba lift. Hautasimamisha gari hata ukisimamisha na kumpa lift lazima utakua na taadhari lolote linaweza kutokea.

Kwa upande wa mwanamke hautachukua taadhari kwa sababu unamuona ni harmless kwako. Hapo sasa ndipo kama ana jambo lake ni rahisi sana kulifanikisha.
 
Tafuteni pesa nyie, mtu kidude ni chake mnataka mmpangie nana wa kumpa na nani si wakumpa? Ukimfuma anapigwa miti piga chini maisha yaendelee.
Pesa inatafutwa na kila mtu mdogo angu. Kule kwenye jukwaa la biashara na uchumi kuna michongo kibao, ndio jukwaa special la kuongelea michongo ya pesa hapa jf. Hili ni jukwaa la mahusiano na urafiki.
 
Wanaume hawahahiki na wanawake wala kujitia presha.Yaani how comes unamuuliza mtu body count (movie zinawadanganya), et baby unanipenda, jamaa yako wa zamani yuko wapi:Mwanaume unapekenyua huku kutafuta nini?? kupekua simu ya mke/mpenzi, kumfuatilia, kumkalia kooni utafikiri wewe ni Baba yake au Mungu wake.Wanaume wa kweli huko hawafiki, let life flow, yaani ugombanie mtu umemkuta kamaliza shule, chuo, wengine yuko kazini?Ujitie presha,unakichaa????

Mimi hata mtu kusikia anasema "Nakupenda" lazima ustuke, upendo wa kweli ni wa wazazi wako tu, wengine wote mtu akisema anakupenda ujue anafaidika na wewe, kuanzia mke hadi watoto.
Pia wanaume tunajua hatuko perfect hata 70%, nje huko lazima kuna wenzako wanakuzidi kitu, kuanzia muonekano, life style, confidence, kujiaminj, pesa, maisha, connections etc..maana yake mkeo anaweza akapata sababu ya kukuacha vizuri tu...ndo maana wazee wa zamani wanasema kitanda hakizai haramu, hawakuwa wajinga, walijua kiumbe chochote cha kike, kuanzia mwanadamu hadi kuku, wanavutiwa na vitu vingi sometimes kidume kimoja hakiwezi kuwanavyo.
Thus ukipigiwa, usipojua, shukuru Mungu, ukijua tumia busara, akiamua mvumiliane maisha yasonge mpaka uzeeni - unashukuru Mungu.
Mwandiko wako una tone ya kisimp.
 
Sio kwa sababu wanawake ni watu wabaya, ila kwa sababu wanawake pia ni binadamu. Na asili ya binadamu ni survival, not honesty. Wanawake wameweza ku-survival tangu vizazi vya kale kwa kudanganya, kucheat na kulaghai ili wapate ulinzi na matunzo

Mwanaume mjinga anafikiri mwanawake wake ni tofauti na wanawake wengine.

Mwanaume mwenye busara anajua mwanamke anadanganya kuhusu body count(akisema 3 maana yake 13).

Anadanganya kuhusu sababu iliyofanya aachane na ex wake.(mara zote ex ni villain)

Anadanganya kwamba wewe ndio mwanaume wake pekee, hana interest na wengine. (Ukweli ni kwamba anayo backup list ya wanaume ambao tayari wapo standby lolote likitokea kati yenu)

Anadanganya anavyosema nakupenda. "nakupenda sana devi". Huku ana-entertain wanaume wengine apate attention.

Big lies, small lies, survival lies. She lies to keep her options open. She lies to keep peace. She lies to keep you.

Kucheat? Kila mwanamke ana capacity ya kucheat mzee mwenzangu.

Ku-intertain wanawaume ambao anajua wanamtaka na hawapigi block, ni kucheat

Kupost picha za mitego mtandaoni wakati anajua
ana boyfriend ni kucheat

Bado ana namba ya simu ya ex wake? ni kucheat

Unafikiri cheating ni kitandani tu? Cheating starts in mind long before body, and any girl when hypergamy hits she will entertain fantasy

Ulaghai? Kila mwanamke analaghai. Atatoa machozi kukwepa uwajibikaji. Atatumia sex kupata anachotaka kutoka kwako. Silence to punish you. Weaponizing kids, play victim to friends e.t.c

Wise man knows this. So wise man doesn't hate women for it. Wise man expect it and vets for it and protest against it. A wise man say i know you can lie, so i will verify not just trust. I know you can cheat, so i will keep you in line with leadership not insecurity. I know you can manipulate, so i will not make decisions based on your tears, but based on facts.

But a foolish man is simp. My girl is different. My girl is loyal. My girl would never. Blah blah blah. Bro wake up from that dead sleep. You girl is like other girls. She breath same air, she has same Instagram, same hypergamy, same need for attention, same trauma. The different is your girl just hasn't had reason to show you yet or you are blind.

Don’t be foolish man. Be wise man who loves women but never trust illusion that his girl is exception to female nature.

Don't be a simp
Katika maisha, badili neno hilo hapo juu na kuweka mwerevu, la sivyo hutakaa na mwanamke katika ndoa.
 
Amen. Hii injili iwafikie masimp wote.
 
Tafuteni pesa nyie, mtu kidude ni chake mnataka mmpangie nana wa kumpa na nani si wakumpa? Ukimfuma anapigwa miti piga chini maisha yaendelee.
Wewe ukipiga miti unaona Sawa, Sisi tukipiga miti unaona siyo Sawa. Kwanini?
 
Wanaume hawahahiki na wanawake wala kujitia presha.Yaani how comes unamuuliza mtu body count (movie zinawadanganya), et baby unanipenda, jamaa yako wa zamani yuko wapi:Mwanaume unapekenyua huku kutafuta nini?? kupekua simu ya mke/mpenzi, kumfuatilia, kumkalia kooni utafikiri wewe ni Baba yake au Mungu wake.Wanaume wa kweli huko hawafiki, let life flow, yaani ugombanie mtu umemkuta kamaliza shule, chuo, wengine yuko kazini?Ujitie presha,unakichaa????

Mimi hata mtu kusikia anasema "Nakupenda" lazima ustuke, upendo wa kweli ni wa wazazi wako tu, wengine wote mtu akisema anakupenda ujue anafaidika na wewe, kuanzia mke hadi watoto.
Pia wanaume tunajua hatuko perfect hata 70%, nje huko lazima kuna wenzako wanakuzidi kitu, kuanzia muonekano, life style, confidence, kujiaminj, pesa, maisha, connections etc..maana yake mkeo anaweza akapata sababu ya kukuacha vizuri tu...ndo maana wazee wa zamani wanasema kitanda hakizai haramu, hawakuwa wajinga, walijua kiumbe chochote cha kike, kuanzia mwanadamu hadi kuku, wanavutiwa na vitu vingi sometimes kidume kimoja hakiwezi kuwanavyo.
Thus ukipigiwa, usipojua, shukuru Mungu, ukijua tumia busara, akiamua mvumiliane maisha yasonge mpaka uzeeni - unashukuru Mungu.

Mimi napenda kula wake za watu na ni watamu hatari. MUNGU anilinde nisidhulike
 
Kwa hawa ninaopishana nao huku mitaani hata hapa jukwaani wakiniambia body count zinasoma 3 mimi nitajazia hapo na 10 kumaanisha 103!
Katika kitu hutakiwi kumuuliza mpenzi wako ni body count yake coz utakuwa disappointed sana.

Approach her, smash her punani and call it a day!

Kuna maswali ukimuuliza mwanadamu wa karne hii unajitafutia sonona, hasa kama umeweka hisia zako kwake.
 
Back
Top Bottom