Alexido jz instagram
JF-Expert Member
- May 5, 2026
- 2,386
- 5,868
Exactly alafu Huwa NAJIULIZA mbona Huwa tunasemeana, utasikia, sisi wanaume lazima tucheat tu, mpaka unajiuliza mbona huyu anatusemea, bro nikupe stori Moja.Mkuu umeandika kwa hisia kali sana lakini mwisho wa siku hicho ulichokiandika kipo pande zote Me na Ke.
NB: Wanaume wema ambao hawana hizo tabia wapo na wanawake wema ambao hawana hizo tabia pia wapo.
Khalas
Kipindi nachoma chips stone town, tuliKua tunawapiga sound sana videmu vile viarabu piga sana voko.
Kuna kibinti kimoja, kilikua kina asili ya uhindi nilikua na kifukuzia, asee yule Binti ni WA tofauti ukimpa mkono msalimiane ana kataa, anasema ni haramu ke kumpa mkono me. Mwanangu ACHA TU Kuna wazazi wanalea asee.
Kuna demu nilimpoga sound akanisikiliza mwisho akasema njoo ujitambulishe nyumbani wakuone, dah