Britanicca tumuokoeni

Malaria 2

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2023
Posts
8,831
Reaction score
13,442
Naona tofauti na mwanzo. Kutwa anapost mara 3 na zote ni pumba kihoja.
Tofauti na enzi za mwanzo. Akitoa hoja ukumbi unawaka kwa hoja.
Tumuokoeni anaweza kuchanganyikiwa. Trump kamchanga.
Hivi sasa anacheza ngoma ya Trump. Hafanyi tena analysis. Kawa sawa na gazeti la uhuru kwa ccm . Sawa na yeye kwa trump
 
Hivi kati yako wewe Malaria Sugu na Britanicca nani anaandikapumba humu? Wewe katibiwe kwanza hiyo Malaria sugu yako ndiyo urudi tena humu.
 
nonsense
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…