zitto junior
JF-Expert Member
- Oct 7, 2013
- 24,521
- 40,520
Kwani vita ilianza sababu ya hormuz au ni kung'oa utawala wa AyatoolahTulia we kobazi dozi ikuingie, Iran wenyewe wamebanwa p.umbu mpaka wakaachia lango la hormuz wewe muiran wa kinyerezi unabwabwaja bwabwaja tu huelewi ufanye nini.
Jf imetuonyesha udhaifu wengi wa TanzaniaKwani vita ilianza sababu ya hormuz au ni kung'oa utawala wa Ayatoolah
Una maoni gani Trump kumpiga marufuku Netanyahu? Tuliwaambia humu Israel si lolote kwa US ni vibaraka tuHakuna kinachoongelewa na Trump kama ajali
Humu jf siasa za geopolitics mmezivamia sana
Kweli mmefilisika, kwahiyo aragarchi au spika wa bunge wana uwezo wa kucontrol jeshi na Ayatollah? Aisee we jamaa hamna kitu kabisa. Kubali tu Trump kachemka walichofanya afghan na Iraq kimefeli iranRegime Change imetokea ndio maana IRGC wanafichama na wale viongozi wao wenye mdomo wamewahishwa kwa Mabikira 72 na mito ya pombe
Kina Abbas aragachi, Galibaf hao ni upande wa serikali ,sio kundi la kigaidi la IRGC
Hao Trump alimwambia ISRAEL wasiuawe maana ni moderate na wanafaa kwa mazungumzo
Akili yako imekudanganya Regime Change lazima itoke nje ya Iran 😂
Regime Change ni kule kuwa na viongozi watakaokubali matakwa ga USA
Kama tunavyoona Uranium itasafirishwa kwenda WASHINGTON
Iran isidhamini makundi ya kigaidi kama Hezbollah,houth
N.k
Aliwahi kusema kina Mdee wakifukuzwa chadema eti apigwe ban ya milele JF. Cha ajabu bado yupoUyo Britatanica ni mtabiri uchwara kama kaka yake Mshana,hana tofauti na mganga wa kienyeji..
Mpuliza mitungi ya gesi mbona hapo sijaona ajenda ya udini!Tulia we kobazi dozi ikuingie, Iran wenyewe wamebanwa p.umbu mpaka wakaachia lango la hormuz wewe muiran wa kinyerezi unabwabwaja bwabwaja tu huelewi ufanye nini.
We hujitambui kama Trump wako, yeye anasema "nuclear dust" maana yake imebaki waste tu sio enriched uranium. Sasa tujiulize unaweza ukaondoa vikwazo vya uchumi kwa kupewa "nuclear waste"?Trump amesema wazi Marekani itachukua ‘nuclear dust’ na Iran imekubali mambo mengi kwenye mazungumzo. Hata kama Iran inakanusha hadharani, fact kwamba wanajadili kuachia uranium inaonyesha wameingia kwenye pressure.
Hiyo ndiyo real regime change kubadilishwa kwa nguvu ya taifa, sio lazima kuondolewa kwa serikali.
Litrump tangu aliposema serekali ya Iran imemtaka kiongozi mkuu wa Iran hapo nitakanyoosha mikonoWe hujitambui kama Trump wako, yeye anasema "nuclear dust" maana yake imebaki waste tu sio enriched uranium. Sasa tujiulize unaweza ukaondoa vikwazo vya uchumi kwa kupewa "nuclear waste"?
Nashangaa watu humu wanavyomuamini wakati ni kichaa mmoja tu.Litrump tangu aliposema serekali ya Iran imemtaka kiongozi mkuu wa Iran hapo nitakanyoosha mikono
vita haina macho, walipoona US anaendelea kuwatandika,wakaamua mashikilie sehemu muhimu zaidi kwa US, NDIO maana umeona hiyo hormus ndiyo imesabisha vita kusimama kwa mudaKwani vita ilianza sababu ya hormuz au ni kung'oa utawala wa Ayatoolah
Waambie merekani wapitishe zile ngarawa zaoHormus Imefunguliwa Sasa
Sasa ni failure kwa USA na Israel maana vita ilikua ni kuondoa utawala wa Ayatollah na kuzuia nuclear bomb yote hayo mawili yamefeli sasa mjadala umekua Hormuz as if ndio ilikua lengo la vita.vita haina macho, walipoona US anaendelea kuwatandika,wakaamua mashikilie sehemu muhimu zaidi kwa US, NDIO maana umeona hiyo hormus ndiyo imesabisha vita kusimama kwa muda
wapi nimetaja udini?Mpuliza mitungi ya gesi mbona hapo sijaona ajenda ya udini!
Hormuz imefungwa tena leo hii kijana. Meli iliyobeba mafuta yanayoelekea India ililazimisha kupita ikalipuliwa. Meli 34 zimegeuza zilipotoka.Hormus Imefunguliwa Sasa
Tutafika Tu MkuuHormuz imefungwa tena leo hii kijana. Meli iliyobeba mafuta yanayoelekea India ililazimisha kupita ikalipuliwa. Meli 34 zimegeuza zilipotoka.