Kwani hapo mwanzo ilikua ajenda ya hormoz. Wakiristo wa hf mumejionyesha mlivyowatupu ktk vichwa vyenu ktk maswala ya uchambuzi. Mnameza kila mnachopewa na media za magharibi. Kwa ufupi Empty head. Akili zenu zimelala zinasubiri umeze nini Trump kasemaTulia we kobazi dozi ikuingie, Iran wenyewe wamebanwa p.umbu mpaka wakaachia lango la hormuz wewe muiran wa kinyerezi unabwabwaja bwabwaja tu huelewi ufanye nini.
Labda mod ndio kahariri, lkn sidhaniUna uhakika huo mwandiko ni wa britanicca? Mbona kama umeandika kwa ufasaha zaidi au ulihariri kidogo maana mmmh
Ni mpuuzi pekee ambaye hadi sasa anaamini kinachotamkwa na Trump,Trump amesema wazi Marekani itachukua ‘nuclear dust’ na Iran imekubali mambo mengi kwenye mazungumzo. Hata kama Iran inakanusha hadharani, fact kwamba wanajadili kuachia uranium inaonyesha wameingia kwenye pressure.
Hiyo ndiyo real regime change kubadilishwa kwa nguvu ya taifa, sio lazima kuondolewa kwa serikali.
Tukusikilize wewe uliyepo hapo Masjid Mtoro ukinywa kahawa ?Ni mpuuzi pekee ambaye hadi sasa anaamini kinachotamkwa na Trump,
Hivi unaamini Trump humaanisha anachoongea?
Matamko mangapi ya Trump yametekelezwa hadi sasa tangia kuanza kwa hii vita ndugu yangu hamis77 ?Tukusikilize wewe uliyepo hapo Masjid Mtoro ukinywa kahawa ?View attachment 3574806
Lete uthibitisho nje ya statement za Trump na nje ya media za MarekaniTrump amesema wazi Marekani itachukua ‘nuclear dust’ na Iran imekubali mambo mengi kwenye mazungumzo. Hata kama Iran inakanusha hadharani, fact kwamba wanajadili kuachia uranium inaonyesha wameingia kwenye pressure.
Hiyo ndiyo real regime change kubadilishwa kwa nguvu ya taifa, sio lazima kuondolewa kwa serikali.
Upo wewe ukumbi wa Tec ukiosha nguo za mapadriTukusikilize wewe uliyepo hapo Masjid Mtoro ukinywa kahawa ?View attachment 3574806
Uzuri Mimi sio mkatolikiUpo wewe ukumbi wa Tec ukiosha nguo za mapadri
Katafute mwenyewe ,huo muda sina Nina kazi nyingiLete uthibitisho nje ya statement za Trump na nje ya media za Marekani
Nipo hapa nafua chupyyi za masisterKatafute mwenyewe ,huo muda sina Nina kazi nyingi
Au cha kukusaidia nenda pale masjid Islamiya Kuna kijiwe cha kahawa au fungulia redio Iman au Qibra Tein fm
Okay,Hakuna kinachoongelewa na Trump kama ajali
Humu jf siasa za geopolitics mmezivamia sana
Bwege wa “jeshi la kati la marekani” US CENTCOMHakuna kinachoongelewa na Trump kama ajali
Humu jf siasa za geopolitics mmezivamia sana