24hrs sasa utata wa alipo mbeya wa social media haonekani na hizi taarifa ni rasmi sasa kutoka ndani ya familia ya mwanadada huyu maarufu mitandaoni especially wa Instagam kuwa hajaonekana tangu juzi usiku alipomsalimia mama yake kwa njia ya simu.
Kuna taarifa za kutatanisha za alipo kwa saa 24 zilizopita mwandishi wa habari na DJ maarufu anayefahamika kama @djcarrytz ama wengi wanamfahamu kwa jina la udaku la Carrymastory
Muwege mnaangalia Mara mbili mnachoandika kwenye mitandao...
Kufatafata maisha ya watu hata usiowajua,kukashifu na kutukana..kutoa siri za watu msidhani wengine wanafurahia.