Brigedia Jenerali Mzee ateuliwa kuwa Kamishna Jenerali wa Magereza

Hivi position kama ile si unahitajika mtu mwenye experience na magereza kamanda aliyetoka amekulia magereza huyu amekulia jwtz hapa sijui inakuwaje?
Hapa kwetu kwa sasa(under one man show) hilo halina umuhimu, tena, hata awe amekulia humo, atafuata maagizo tu, na sio ubunifu wake!!! Unaweza kuwa mkulima tu, kama nyota yako iko vizuri, ukajikuta, msimamizi wa vyama vya siasa tz!!!
 
Mkuu niwie sana radhi nilikubishia juu ya vazi atalovaa kamishina mpya wa mageko ila ulikuwa sahihi kabisa kunielekeza.

Sent using Jamii Forums mobile app
Usijar humu tupo kwa ajil ya kufahamu vile tusivyovijua ndio maana hata cheo kava Cha magereza mkasi,mwenge,2stars na Sio kile alichokuwa anavaa mkas bib na bwana pamoja na 1star

kilicho akilini kitumie
 
We ni mwehu lzm dress code ya jeshi la magereza,akitumbuliwa atarudia cheo chake cha awali,,,,cheo lzm avae cha magereza na uniform pia,,,,siku ya kuapishwa anaweza vaa za Jwtz maana atakuwa hajavalishwa cheo kipya cha cgp ila akiapa tu anavua baka baka mzee magereza ni jeshi kubwa lenye taratibu zake
Hawezi vua combat. Ataendelea nazo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom