Brigadier General Kotta-Amefariki Dunia Ghafla!

Je Ndiyo Mshua Wake Na Mmoja Wa Mke Wa Mtangaza Nia Wetu Maliasili Na Utalii?
 
Kwani Kafariki Lini? Ni Macho Yangu au? Mbona Watu Mnapenda Sana Kuwachanganya Watu? Mleta Uzi Kasema Leo Mwenzetu Unatuambia Miaka Mitano Iliyopita. Jamani Hebu Jifunzeni Kuwa Na Adabu Kwa Mambo Sensitive Kama Haya Na Ni Kheri Mtu Umalize Kwanza Kunywa Gongo Yako au Kuvuta Bangi Zako Na Akili Zikirudi Sawasawa Ndipo U Log In Humu. Mnatuboa!
 
Chief, mbona huu msiba ni wa siku nyingi?...
 
Tatizo watu mnaongea bila kuangalia tarehe ya chapisho......... 2010. Alafu mnacomment kama ni kitu kipya....... shame on you.
 
Huoni kuwa post yangu nimeanza kuwa ni siku nyingi zimepita; ukipitia posts zangu za nyuma hutakosa post yangu wakati anafariki. Hapa nilikuwa namkumbuka tu.
 
Sijafurahishwa na hii kitu kwa kweli. Basi ungebadilisha hata intro ya habari yake ieleweke kama ni kumbukumbu. Hujaitendea haki familia yake na wapendwa wake.
 
Daah pole sana mr president nyaranduga kwa kupoteza baba mkwe
 
Tatizo watu mnaongea bila kuangalia tarehe ya chapisho......... 2010. Alafu mnacomment kama ni kitu kipya....... shame on you.

Hawa ni sawa na wale anagezea mpaka jina la mtu aliyekaribu nae kwenye chumba cha mtihani!.
 
Tatizo watu mnaongea bila kuangalia tarehe ya chapisho......... 2010. Alafu mnacomment kama ni kitu kipya....... shame on you.

Na Ndiyo Maana Nilipoona Nimekosea Baada Ya Kujulishwa Na Member Mmoja Upesi Na Haraka Nikaomba Radhi. Na Wewe Pia Ulitakiwa Kabla Ya Kutuma UPOPOMA Wako Huu Ungeipitia Ile Post Yangu Ujiridhishe Kwanza Ila Umeonyesha UPOPOMA Wako ULIOTUKUKA!
 
Huwa napata tabu sana kuelewa uwezo wako wa akili. Sasa unatukana mtu mzima bila kosa then silaha yako ni samahani?? Hebu tumia akili yako sawa sawa basi. Kila mtu akitumia akili yake kama wewe kutakalika kweli humu?
 
Huoni kuwa post yangu nimeanza kuwa ni siku nyingi zimepita; ukipitia posts zangu za nyuma hutakosa post yangu wakati anafariki. Hapa nilikuwa namkumbuka tu.

Upo Sahihi Mkuu Nilikosea Mimi Na Naomba Tena Radhi Kwa Usumbufu Wowote Uliojitokeza Kwani Nakiri Kwa KUPEPESA Na KUTIKISA Pia.
 
Unadhani huyo jamaa alistahili jibu hili kweli?? Badilika kijana kuna watu wazima humu!
 
Unadhani huyo jamaa alistahili jibu hili kweli?? Badilika kijana kuna watu wazima humu!

Nadhani Lipo Unalolitafuta Kwangu Kwani Nimeshafanya Clarification Ya Kutosha Juu Ya Hili Na Hadi Kuomba Radhi Sasa Nakushangaa Unavyojinyegenyisha!
 
Nadhani Lipo Unalolitafuta Kwangu Kwani Nimeshafanya Clarification Ya Kutosha Juu Ya Hili Na Hadi Kuomba Radhi Sasa Nakushangaa Unavyojinyegenyisha!

hivi inatosha tu kutukana watu na siraha yako iwe kuomba msamaha?...unatakiwa kuacha kukurupuka!... nauamue kubadilika hii ni kwa faida yako!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…