Itakuwa huwajui vizuri hao na mambo ya kanisa , kuna mawili mosi: hiyo ni kama tahadhari na kuepusha lawana for their next move kama wakiendelea kupuuzwa (ninahisi kuna kitu kizito sana mbele ya safari), yaani ni kama kusema ila tulionya na kushauri mapema ………….as long as wamemuita wao, wameumia! kwa akili zilivyo atawachukulai kama ku surrender to her pressure! Let wait and see!
Pili: inawezakuwa aliwahitaji ila akawa anaona aibu au kushindwa namna ya kuwaendea, so maaskofu ndio wakaona wajishushe au kujiongeza (msikilize vizuri kitima hapo akifafanua kuhusu kuhusu viongozi kama spikawalioenda kumuona kwake) utaelewa hii point