Haha!, nyie wanaume ndo zenu hizi kumbe!
Afadhali yako umekuwa mkweli lakini, cos kuna wengine wanaweza kulaani hii lakini kimoyo moyo wanafurahia.
Tatizo yule mama mchungaji, inabidi umtafutie anayoonekana uso tu.Hahaha!, kwa kweli
Itabidi tu, maana nahisi kafanana na hawa models wa hapa
Hehehe hongera kwa msambwandaTeh!, hawa watu wakati mwingine akili zao sijui huwa zinawaza nini.
Akina sisi tuvae hivyo na tulivyo na misambwanda sijui kama kwenye harusi patakalika.
mshindweeeTumvalishe hivyo Heaven Sent maana kalivyo kembamba hata hauwezi jua kamevaa au hakajavaa!!
Hahaha khaaaaTatizo yule mama mchungaji, inabidi umtafutie anayoonekana uso tu.
Sipati pichaaaaaaaHatuwezi kumvalisha kama Ninja mweupe
Itabidi waumini wamsahau kidogo tu siku hiyo, atakapokuwa model in white wa nguvu..
Kumbe umeliona eeh!! Mie niliona nikaamua kumute maana sio mwenzetu huyu!!Hehehe hongera kwa msambwanda
Tutaombewa!! Shaurilo.Hatuwezi kumvalisha kama Ninja mweupe
Itabidi waumini wamsahau kidogo tu siku hiyo, atakapokuwa model in white wa nguvu..
Hizo fupi bongo hazifai kwasababu wanawake wa huku wote wanaolewa wakiwa na mimba ya miezi 8
Shauri yako, utashangaa na roho yako utakapokuwa tayari kanisani na kushangaa umeshavaa na umefikaje fikaje...lol!