Brg Gen Mwakanjuki afariki dunia

watu wazuri wanafariki wanabaki wabaya na wezi wa taifa. Natamani angekuwa waziri moyo wangu ungefurahi!. Ee Mungu kama hakuwa fisadi mpokee apumzike kwa amani.

Duuh..!!:A S 13:...
Mwanadamu si malaika jamani.
Nilipopita Singida Mjini, nilisikia malalamiko kidogo kuhusu jengo la ofisi kuu ya CCM na uwanja wa mpira wa miguu, kushindwa kumalizika kujengwa.
Jina la "Mwakanjuki" lilitajwa kama mara mbili tatu hivi. Alishawahi kuwa mkuu wa mkoa pale..:A S-coffee:

RIP BRIGEDIA.
 

uongo mwingine muwe mnavuta hata subira walau kidogo kabla hamjauongopa.
Muda huu saa 4 asubuhi,
source tbc , wanatangaza maiti yake itafanyiwa ibada kanisa la mkunazini.
Hujaumbuka ?
Na sredi yako hii?
 
Upumzike kwa amani Brigedia Jenerali Mwakanjuki...

Pole kwa Aliko na familia nzima ya mzee Mwakanjuki....

Tupo pamoja katika kipindi hiki kigumu kwenu...


Bala.
 
RIP Gen....just wanted to know one thing. Hivi huyu jamaa ni mnyakyusa au hata Unguja na pemba kuna majina kama hayo ya watu wa kusini?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…