Hustler one
JF-Expert Member
- Mar 17, 2022
- 507
- 1,339
Hawa hivi Mara nyingine wanakuwa washapigwa matukio sasa hawezi sema !!, nilikuwa na demu wangu mmoja kwa nje mgumu na Ana maneno magumu magumu ila nilikuja kungudua kumbe alishapigwa na kitu kizito ndo mana anajifanya hayajali wa wala hayamuumizi 😁( lakini yote ya yote kila mtu ashinde mechi zake🙌🏻🤣)Mazee si ajitokeze kijana mmoja ampe Lamomy heartbreak ya nguvu kiasi kwamba apungue kilo tano ndani ya siku mbili?
nilinyoa nywele zangu.Nikaomba likizo ya mda job..nikabeba vyeti,passport na nguo chache huyoo nikahama nchi kwa mda.To be continued 