Breakpoint ya mjini jirekebisheni kwenye Muziki wenu!

Rich Dad

JF-Expert Member
Dec 15, 2010
748
133
Napenda sana kwenda kukaa pale breakpoint ya mjini siku za ijumaa kusikikilza muziki wa asili. Lakini sifaidi nakereka sana na sauti yao ya juu wanayofungulia, ni kero tupu kwani licha ya kuharibu masikio pia mtu mwenye pressure anaweza hata akazimia kwa kelele za speaker.
Breakpoint mJirekebishe aisee, muziki si makelele ya juu kama mnayoyaweka ninyi. Mkiendelea hivi mtakuja kushangaa mnabaki na viti vilivyowazi kila ijuamaa. Watu wengi wa maeneo y posta wamestaarabika na mara nyingi wanapenda muziki laini wenye utulivu na si makelele yenu!
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom