DON KILLUMINATI
Senior Member
- Jan 2, 2011
- 192
- 83
--------------------------------------------------------------------------------------------------------------------------
TANZANIA HAS REJECTED THE NEWLY APPOINTED JAPANESE AMBASSADOR
KANYAMAVI KAYASHIKA AND HIS WIFE TAKAUCHI KUMAMOTO
DUE TO THEIR NAMES.
Kwa sababu ni wajapani au?, Mbona hatukwaziki na majina ya baadhi ya sehemu maarufu kule visiwa vya Pemba na unguja kama kitongoji maarufu cha mchambawima, kilima maarufu cha kilamanyege na kituo ch a daladala cha kwa mla ndogo? Tena utasikia jibabu kabisa linamwamuru konda eti kwa mla ndogo shushaaaaa!!!!!!

Umenivunja sana mbavu ndugu kwa hayo majina...!
Heeeee! ikipoa inakuwa kiporo!Pia kuna nahara kokoto,sakauchi kaupata,kumamoto inapoa,na maurojo pumbuwazi.
MBO NDANI YA KUMAMOTO