Nokla
JF-Expert Member
- Aug 12, 2012
- 3,190
- 1,780
Habari iliyonifikia hivi punde,ni kwamba;
Kuna boti iliyokuwa inatoka Pemba asubuhi ya leo kuelekea Zanzibar, iliyopakia abiria wasiopungua 250 na mizigo ipatayo tani 10, wamefika salama na mizigo yao bandarini.
¤AHSANTE¤
Vipi mbona umeshangaa,ulizani imezama?Sio kila zikizama ndio tuambiane,hata zikifika salama tujulishane jamani!