Hance Mtanashati
JF-Expert Member
- Sep 7, 2016
- 25,737
- 35,608
Watu wasiojulikana wamevamia jengo lisilojulikana
Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusikojulikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana
Na mimi sijui ninachosema
Je, wewe unaelewa unachosoma ?
Na kufanya tukio lisilojulikana na kukimbilia kusikojulikana na mpaka sasa hakuna kinachojulikana
Na mimi sijui ninachosema
Je, wewe unaelewa unachosoma ?