Breaking News

Breaking News

Nazjaz

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2011
Posts
7,850
Reaction score
9,423
Breaking news: Ronaldo anamalizia vipimo vya afya Manchester na atasain mkataba wa miAka minne akizungumza kwa furaha kubwa Juma Hamis maarufu kama Ronaldo alyekuwa anachezea Katavi fc ya Rukwa! Kuwa anafuraha kusajiliwa na Manchester ya mjini hapa Singida!
 
Hahaahaahaaa🙂. Hii naona ni BROKEN NEWS siyo breaking news
 
Last edited by a moderator:
Umenikumbusha yule kocha maarufu aliyezifundisha timu za Bacelona, Liverpool, Sunderland, Newcastle, Madrid, zote za Temeke!
 
Aaaaaah haya bhana

Sent from BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Katavi anacheza mpira gani, labda wa kitandani.
Au nimesoma vibaya, hivyo hivyo
 
Last edited by a moderator:
Breaking news: Ronaldo anamalizia vipimo vya afya Manchester na atasain mkataba wa miAka minne akizungumza kwa furaha kubwa Juma Hamis maarufu kama Ronaldo alyekuwa anachezea Katavi fc ya Rukwa! Kuwa anafuraha kusajiliwa na Manchester ya mjini hapa Singida!

Mhi! Nimepata furaha gafla na ikapotea gafla, ila kusema kweli umeniweza
 
Breaking news: Ronaldo anamalizia vipimo vya afya Manchester na atasain mkataba wa miAka minne akizungumza kwa furaha kubwa Juma Hamis maarufu kama Ronaldo alyekuwa anachezea Katavi fc ya Rukwa! Kuwa anafuraha kusajiliwa na Manchester ya mjini hapa Singida!

Umenikumbusha yule kocha maarufu aliyezifundisha timu za Bacelona, Liverpool, Sunderland, Newcastle, Madrid, zote za Temeke!

wakati huo huo...WAZIRI afumaniwa huko dodoma...waziri aly mkazi wa area c dodoma amefumaniwa
 
Nimezipokea habari zako nikiwa Barcelona lodge Itigi- Manyoni.
 
Mtangazaji: Hallo, naongea na nani?
Msikilizaji: Unaongea na Mamba (kwa lafudhi ya Kisukuma)...
Mtangazaji: Unapiga simu kutokea wapi?
Msikilizaji: Napiga simu kutoka hapa Mtoni...
Mtangazaji: Heeee....Mtoni?
Msikilizaji: Namaanisha Mtoni kwa Aziz Ally.
 
hahahaaa...... Umenifurahisha sana watu8
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom