nakupata mkuu,ndoa kibao zimetikisika,maana kapo nyingi zilishiriki hilo tamasha ila majina kwa sababu za kiusalama (maana wengine ni viongozi wa kisiasa) nimeyatia kapuni.Ngoja nifanya mpango wa ku delete hii sredi kabla watu hawajaharibikiwa zaidi.Kwa mbali kuleeeee namwona nitonye hoi macho mekundu yuko na.....wanatoka chumbani kwangu.Tayari nimepokea kama PM nane za rushwa ili tusiendelee na hii sredi. Nipokee rushwa mkuu?
NO! I mean wewe uanze kutumia manake.....you mean nitts anatumia ugoro,du!
Unajifanya humjui eeh?nitonye who?
Mkuu hamna noma, siku utayoacha kushangilia na kupiga makofi tutamuomba bepari la kihaya likuongezee posho ili ukiwa katika kesi uwajibike vizuriMkuu equation haijabalance apo rushwa mainaz kamshahara ambako kwa miezi miwili napata client mmoja tu tena analeta kesi ya kudaiwa ili nimtetee asilipe deni. Nafunga ofisi karibuni
sijambo mpendwa, huyu bishanga dawa yake inacheka, hawezi kutuharibia ndoa watoto wa mwanaume mwenzie.
Ikipanda hujui ufanye nini???halafu libido ikipanda?
by the way,kwa nini huna avatar?
Hata mimi nikimnyemelea Lizzy nakuwa nashangaa ung'eng'e unatokea wapi yaani hafla tu nakuwa najiona natema dikshineri vibaya sana wakati kiuhalisia shule nilifkuzwa la saba baada ya kumwekea kioo mwalim wa hesabati? huyu Lizzy lazima atakuwa na DNA ya shekoslovakia au zimbabwehahahahaaa kopi n pesti kamanda!
when the going gets tough,the tough get going....
i am tough Lizzy....yes i am!
Usje ukawaambia kwamba samtaimu tunashare mpaka mswaki na kolgeti yake. Watatuloga beibeIkipanda hujui ufanye nini???
Avatar huwa nashea na klorokwini, ukiona avatar ya kloro ujue umeona yangu.
Fellow tablet aspirin mpaka mala ya mwisho kuonana nae kumbukumbu inaniambia anaondoka na kilo 2 ya ugali na kabeji tatu zillochanganywa na mifupa ya digidigi. Hapo ni brekfast tuafadhali.....
Asprin na TF hapa kwangu kuna nafasi...
Tena nitawalea na kuwahudumia ....loh
Nifundishe na lile somo jengine basi....... sema pole pole jamaa asiskiehahahahaah. . . Loya walau umenitendea haki kwenye 'ORIGIN'. Ndo maana nimeamua kuwa mwalimu wa kieerengeza kwa watu wazima kama wewe na Byshanga.
Nifundishe na lile somo jengine basi....... sema pole pole jamaa asiskie
Lile naruhusiwa kufundisha mwanafunzi mmoja tu kwa sasa. . .na ada kashalipia.
Hahahaha. . .Loya achana na lile bepari. . .halina zaidi ya chokochoko. Ila we kama unataka nikutafutie mwalimu wako na wewe. . . . .Ddah! kwa road bloki hili namuhurumia sana bishanga, heri mimi nimeongea kiswahili tu. Bishanga alikuja na dikshineri lake kabisa kumuimpress teacher yaani kumbe mwisho wa mchezo ndo hili post.