Breaking news!!!!!

Breaking news!!!!!

ArchAngel

JF-Expert Member
Joined
Oct 11, 2015
Posts
4,512
Reaction score
3,764
BREAKING NEWS!!!!!

Watu watatu wasiojulikana wamekutwa jijini Dar es Salaam usiku wa kuamkia leo wakiwa na afya njema kabisa huku wakipambana na hali zao hivyo na wewe pambana na hali yako tu hakuna umbea hapa.
 
Hovyo!
 
dah nilikuja spidi,nilidhani tayari nisani nyeupe keshafanya yake
 
hongera kwao
uzuri uzi umekaa jukwaa husika nilijua tu lolote linaweza kutokea
 
Back
Top Bottom