Bangi!!!!!Hii ni habari iliyodhibitiwa,sir alex furgason amesign mkataba wa miaka 6 kuifundisha liverpool kuanzia msimu ujao..source mimi mwenyewe.
Ndiyo maana ikaitwa JF jokes, ukitaka habari siriasi hamia kule kwenye habari mchanganyiko au Siasa n.k.Bangi!!!!!
Hii ni habari
iliyodhibitiwa,sir alex furgason amesign mkataba wa miaka 6 kuifundisha
liverpool kuanzia msimu ujao..source mimi mwenyewe.
mourinho naye anahamia simba!