Breaking News!! No mjadala wa Dowans ITV | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Breaking News!! No mjadala wa Dowans ITV

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Mtego wa Noti, Feb 22, 2011.

 1. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #1
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  wanaJF, hakutakuwa na mjadala wa Dowans tena ITV kwa sababu ambazo hazijaelezwa!!!
  Hii ina maana gani jameni hapo ITV?
  Sorce, ITV news
   
 2. mchonga

  mchonga JF-Expert Member

  #2
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 3, 2006
  Messages: 1,250
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  wamesoma alama za nyakati kuwa wangeumbuka leo. Nadhani Kikwete ameingilia kati kumuokoa RA
   
 3. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #3
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  inawezekana kuna mkono wa RA na JK
   
 4. Not_Yet_Uhuru

  Not_Yet_Uhuru JF-Expert Member

  #4
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,305
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Hii yaelekea ni kutokana hela na 'nguvu ya mafia' ya mafisadi wameingilia huko kupitia mkono wa jamaa wa serikali kama kawaida.
  si mnajua 'mmiliki halali RA' kajua keshafunga umma bao kwa njia ya kumleta 'mmiliki kanyaboya - Brig Gen. Alawi' ili kufunika kombe?
  na wahariri walishalishwa halua ya laki 2 kila mmoja ktk ule mwaliko wa 'mmiliki mpya wa dowans' kuongea na wahariri? hamjui laki 2 ni ili 'ndimi zao ziwe nzito'!, yaani ububu! kwani wa ITV hakualikwa ktk press conference ya media forum? au wamepelekewa memo na bahasha yao? tufuatilieni hili jambo, ni maslahi ya umma kujua ukweli.
   
 5. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #5
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  kwa kitendo hicho ITV imejishushia hadhi katika jamii. itaanza kuonekana kama puppet wa mafisadi. hata heshima ndogo ambayo ITV walikuwa wameanza kujijengea imeporomoka kama barafu kwenye joto kali. shame on ITV
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  Feb 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Nimekuja nyumbani nakimbia njia nzima nikijua kuwa nawahi mambo mazuri, and you guy despair my heart again.!
  Kuna mkono wa mtu katika hili jambo!, si bure
   
 7. Mtego wa Noti

  Mtego wa Noti JF-Expert Member

  #7
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 27, 2010
  Messages: 2,229
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 160
  hata mm nilishawaambia jamaa zangu wakaangalie tamthilia kwa jiran maana tutakuwa tunaangalia mjadala...halaf wametuboa mno!!!!!! hii rushwa sijui kama itakuja ishe!!!
   
 8. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #8
  Feb 22, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Bongo kama porini!
   
 9. Zegreaty

  Zegreaty JF-Expert Member

  #9
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 24, 2010
  Messages: 638
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  ayaaaaaa tushaliwa tena!hili lishakuwa chezo la changa la macho
   
 10. Babu Lao

  Babu Lao JF-Expert Member

  #10
  Feb 22, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 2,056
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 135
  Mambo ya Al-Adawi hayo... alisema asipigwe picha ili msimjue, yeye anajulikana kwa vitendo tu na vitendo vyake ndio hivyo vishaanza kuonekana!!:A S 13:
   
 11. Freestyler

  Freestyler Senior Member

  #11
  Feb 22, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 199
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  'Taarifa za Kiintelijensia' kwa mara nyingine?
   
Loading...