Breaking news;mzimu wa bishanga waendelea kumuandama baba V

Bishanga kafulia...yuko kwangu nawatunza yeye na mkewe The secretary ila kwa kuwa huyu mkewe nimezaa nae nafurahi namimi huwa najaribujaribu kuclick kila siku Bishanga akienda kuuza ndisi sake!

Wewe nawe tangu mapolisi wakamate zile gunia 18 zako za ganja umekuwa unaongea tuu kama wale jamaa zetu pale Milembe.
 
Last edited by a moderator:
Sawa hapo umepona la sivyo ningeenda mahakama kuu kuzuia kikao cha CC kesho kisikae kujadili suala langu


Hiyo ilijirudia mara "mbili dabo" nikaamua kuifuta , delete kabisa..
 
Nimeiona hilo bandiko nikiwa kama mteja wake,kwa sasa sitaongea chochote mpaka mahakamani

Zinduna hebu mwambie huyu anaejiita Bishanga autafute Uzi unaokwenda na bandiko "WADAU NIMEKUTANA NA GHOST ........."
Atakuta habari muhimu kumhusu .
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom