Breaking news: Mwanaume ajifungua mtoto!

Kuna mwanaume mmoja alikuwa amelala. Katika kulala kule akawa anaota ya kuwa ana ujauzito na ana tumbo kubwa na karibia siku za kujifungua zinakaribia. Ghafla akiwa kwenye ndoto uchungu kama wa mama mzazi ukamuanza. Akaamza kupiga kelele na kuomba msaada wa kutaka kujifungua. Watu bwana wakambeba, weka kwenye taxi, kimbiza zahanati ya jirani, manesi wakapeleka chumbani. Yule mwanaume akaanza kusukuma mtoto huku manesi wakiminya tumbo mtoto atoke. Moja, mbili, tatu, mtoto anataka kutoka, nne, tano, sita, saba, mara pwaaaaaaa mtoto katoka jamaa hatimaye kajifungua salama salmini. Kufila asubuhi, khe khe khe kumbe jamaa KANYA KITANDANI ALIPOKUWA KALALA!
Usikute hata wewe hapo ulipo unaota pia kwii kwii!
 
Vipi ulikuwa unakimbizwa? Hebu fanya editing haraka!
 
Back
Top Bottom