Msigwa yule wa Iringa?Habari za hivi punde zinasema aliyekuwa mwenyekiti wq CUF Prof. Ibrahim Lipumba ametimkia CHADEMA na wanachama wengine kadhaa
Habari hizo zinathibisha kuwa hata Mchungaji Msigwa naye ameamua kujitoq ccm rasmi na wanaccm wengine kadhaa
APRIL FOOLSHabari za hivi punde zinasema aliyekuwa mwenyekiti wq CUF Prof. Ibrahim Lipumba ametimkia CHADEMA na wanachama wengine kadhaa LEO TAREHE 1 APRIL!
Habari hizo zinathibisha kuwa hata Mchungaji Msigwa naye ameamua kujitoq ccm rasmi na wanaccm wengine kadhaa
Ndo maana habari imewekwa chit chat π.Leo ni Aprili Mosi, sikukuu ya wajinga duniani. Tuwe makini π
πππNdo maana habari imewekwa chit chat π.
It will never happen !!Lissu ajiunga CCM
https://www.facebook.com/Kumbe leo ni Aprili Mosi, eeeh..!!!
Nilikuwa nimeamini hadi mdau hapo aliposema ni april 1st.