Manjagata
JF-Expert Member
- Mar 7, 2012
- 17,152
- 19,780
Siku wa ndondocha dunianiHabari za hivi punde zinasema aliyekuwa mwenyekiti wq CUF Prof. Ibrahim Lipumba ametimkia CHADEMA na wanachama wengine kadhaa LEO TAREHE 1 APRIL!
Habari hizo zinathibisha kuwa hata Mchungaji Msigwa naye ameamua kujitoa ccm rasmi na wanaccm wengine kadhaa