Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 49,264
- 19,595
Helo guys
leo ni siku muhimu tena kwa wakenya na hasa wale wa nchi jirani waliokuwa wakifunga na kuomba mungu ashushe amani kenya....
kama uko kwenye tv watch CNN NEWS,,,now,kibaki akisaini mkataba na RAILA ODINGA,,,BIG UP BOYS 2MEN
lets cross our fingers..stay in tune mkuu ANNAN atatoa taarifa muda si mrefu baaada ya kusaini,,sifa apewe YESU WA NAZARETI.....
OLE WAO watakaoanzisha fujo tena,,,,hakika mungu atawatekeza kawa upanga stay in tune...guys am so happy about them